Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am a highly individuated person.We mwenyewe Kwa sababu upo Marikani huko Vilinge ni vya kutafuta.....Wasukuma mnavyopenda kuchanjana chale nyie.🤣🤣🤣
Mimi ni agnostic.Nyani ngabu huko sahihi. Tunapenda tupate wenza wenye dini ila hatutaki wanaoamini uchawi.
Tunasahau dini ndio zinasema uchawi upo.
Dini na uchawi ni kama simba na yanga.
Watu wasio amini dini wapo wachache sana Tanzania. Hao ndio hawaamini uchawi
Mimi nasema uchawi haupo na kwenye nyumba za ibada huwezi kunikuta.Wapo watu kibao hawaamini masuala ya waganga na ushirikialna kwa ujumla wake. Tatizo huwezi kuwapata katika mikutano ya vyama vya siasa, ushabiki wa mipira na kumbi mbalimbali za starehe. Hao watu utawakuta /utaonana nao sana katika nyumba za ibada.
Kwanza namshukuru mama Samia Kwa hicho kingreza ulichonijibu....🤣🤣🤣I am a highly individuated person.
I don’t belong to any ‘go along to get along gang’.
I think for myself and dare I say, I do a pretty good job at it.
Therefore, my tribal ancestry has absolutely nothing to do with my independent mind.
Witchcraft is fake news.
Hiyo kawaida sana, sasa Kama masharti ya dawa yanasema mgonjwa aogeshwe na mganga..... hapo mganga kavaa shuka chukuchuku, mgonjwa ana kanga moja......unadhani kifuatacho nini?Tatizo la Uchawi na ushirikina ni uchafu na kifo kabla ya muda.
Huko kwa waganga sio ajabu akapachikwa dawa kwa njia ya ukuni. Sio poa
Hiyo kawaida sana, sasa Kama masharti ya dawa yanasema mgonjwa aogeshwe na mganga..... hapo mganga kavaa shuka chukuchuku, mgonjwa ana kanga moja......unadhani kifuatacho nini?
Ni ugonjwa wa akili tu na kukosa elimu.....hiyo supernatural power mtu anayoifata Kwa mganga, watenda miujiza na watu wa falak ipo everywhere......Na hapo ndipo wachawi na washirikina ninapowadharau
Mkuu swali lako halina UHUSIANO kbsa na mada, kwakuw huko kwa waganga watu wanaend kwa namn mbili wamekabiliw na matatzo au kuwek sawa mambo yao au kuharbia wengine, huo ushog unakujaji are you class 7 🥸🥸Kama wewe huna miiko usidhani kila mtu yupo kama wewe.
Kuna miiko hata kama no way huwezi kuivunja.
Mfano nakuuliza, wewe unaweza kuwa shoga ikiwa utafikia Ni way?
Mkuu swali lako halina UHUSIANO kbsa na mada, kwakuw huko kwa waganga watu wanaend kwa namn mbili wamekabiliw na matatzo au kuwek sawa mambo yao au kuharbia wengine, huo ushog unakujaji are you class 7 🥸🥸
Hilo sharti katu sitoliweza na ndio nasikia kwako na umri wangu wa miaka 40 dunianUhusiano upo tena mkubwa.
Sema wewe ndio huuoni.
Wapo Watu wanaingia kwenye ushoga kwa sababu ya matatizo ya kifedha, na wapo wanaoingia kuweka mambo yao sawa
Moja ya masharti ya huko kwa waganga ni pamoja na hilo la kuwa shoga. Sasa wewe unabisha nini?
Karibu
We mkuu acha tu. Mi nimekulia Misungwi ndani ndani huko na nakumbuka utotoni tulikuwa tunachanjwa chale na kibibi kimoja hivi hatari sana kutoka Musoma huko. Nadhani mara ya mwisho kuchanjwa nilikuwa darasa la 3 au la 4 hivi maana kile kibibi kilifariki. Sema sasa ubaya chale huwa hazifutiki aisee! 😭.Kuna wengine walichanjwa wakati wakiwa wadogo lakini baada ya kukua na kusoma, hawana imani hizo tena.
Hilo sharti katu sitoliweza na ndio nasikia kwako na umri wangu wa miaka 40 dunian
Usukumani hutapata mke aisee,kila Familia ina mganga wake.
Hujakumbwa na tatizo la kijadi ndio maana unawaona hao watu ni wa hovyo.Habari Wakuu!
Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti.
Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi.
Mke akijihusisha kwa namna yoyote na mambo ya ushirikina au uchawi iwe kwa kusema mdomoni, kushauri, au kwenda na kuutumia uchawi au uganga huyo kwetu Watibeli tunafukuza bila kumsikiliza yeyote.
Kwa binti zetu, binti za Tibeli kamwe hatamvumilia mwanaume aliyemuoa ikiwa atagundua ni mshirikina, mchawi au anapenda mambo ya waganga.
Binti yangu, ikiwa mumeo ikatokea siku akatamka hata kwa utani kuwa uchawi au ushirikina kuna muda unasaidia. Mimi Baba yako ninakuruhusu umuache siku hiyohiyo pasipo kufikiri wala kusubiri.
Mtibeli acha nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
.
Hujakumbwa na tatizo la kijadi ndio maana unawaona hao watu ni wa hovyo.
Ukikua utaelewa.Chai.
Matàtizo ya kijadi ndio yapi?
Ukikua utaelewa.
"Asiyejua maana ,haambiwi maana".
Ukikua utaelewa.Miaka mingapi ndio nitaelewa?
Nimekuuliza changamoto kama ipi naona unakimbia