Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Apr 4, 2024 Thread starter #121 Hance Mtanashati said: Ukikua utaelewa. "Asiyejua maana ,haambiwi maana". Click to expand... Kwa hiyo waandishi wa Quran Kam mtume Muhamad hakuwa amekua alipokuwa anakataza uchawi na shirki? Kwa hiyo mataifa yanayoona uchawi na ushirikina na mila potofu za kupigwa vita hawajakua? Kuna Watu akili zenu mnazijua wenyewe.
Hance Mtanashati said: Ukikua utaelewa. "Asiyejua maana ,haambiwi maana". Click to expand... Kwa hiyo waandishi wa Quran Kam mtume Muhamad hakuwa amekua alipokuwa anakataza uchawi na shirki? Kwa hiyo mataifa yanayoona uchawi na ushirikina na mila potofu za kupigwa vita hawajakua? Kuna Watu akili zenu mnazijua wenyewe.
molwe JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 416 Reaction score 440 Apr 4, 2024 #122 Mchawi hapanaaa!! Ataroga wengineee, ipo siku atakugeukia wewee!!! Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mchawi hapanaaa!! Ataroga wengineee, ipo siku atakugeukia wewee!!! Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app