Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Haha hakuomba ivo msalabaniKuna mtu aliomba Dua akiwa msalabani.
Kikombe kile cha mauti kimuepuke na Mungu akala ganzi.
Akazidi kuomba MUNGU WANGU MUNGU WANGU.
Mbona umeacha.bado Mungu wake akala ganzi hakumsaidia.
Ndomaana siwez kuabudu miungu yakijinga kama hio. Yani mungu ananiahidi kua nikimuomba atanijibu alafu namuomba nisafiri salama ila yeye anaacha nipate ajali nivunjike?sawa umeomba uwe na safari njema.ila siku yako ya kifo imefika.
Utakwepa vipi!?
Na unajua Kama kila kitu kinatokea kwa sababu?
Na hata ajali inatokea kwa sababu.
Ila nyie jamaa mna Inferiority complex kali sana
Yaani we akili zako haziko sawa kabisaMtangazaji atakuwa anatangaza na shehe Zakir Naik atakuwa anatoa mihadhara. Jamani si zitakuwa kelele hizo?
Halafu mtu umefunga safari kutoka kwenu hadi Doha kwa ajili ya kwenda kuangalia soka, hiyo mihadhara unaenda kuisikiliza ili upate nini? Wanawake 72 mabikira?
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.
View attachment 2422130
Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.
"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.
View attachment 2422132
.................
Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022
View attachment 2422135
Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.
Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.
View attachment 2422136
Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.
Baadhi ya hadithi ni pamoja na, βKila jema ni sadakaβ, βAsiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa hurumaβ, na βJilindeni na Moto wa Jahannamβ.
Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.
View attachment 2422138
Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.
Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Naona umeandika uchuro tu hapo dada adelina kimamboUnaweza kusikia mtu anajiita mkiristo huku hata robo ya Biblia hajaisoma ndani ya miaka 5 zaidi anasikiliza Vimstari viwili au Vitatu kanisani na vivyo hivyo kwa waislamu (dini sio jina, ni kuifaham kwa upana)
Mimi ni kati ya watu wachache waliobahatia kuhudhuria makongamano makubwa ya Kikristo na kiislamu kwa asilimia 85hivi; yale yaliofanyika nikiwepo mjini. Naweza kusema namjua Mungu kuliko watu wengine weeeengi
Turudi kwenye mada
Kwa namna yoyote ile, kuhudhuria mihadhara ambayo hata haifanywi kwenye viwanja vya mpira, ni utashi wa mtu.
Sasa kama mtu ataamua kwenda kusikiliza hivi inakuhusu nini???
Nafikiri tufike mahala tuheshimu maisha Binafsi ya watu
Wazungu wapo bize kujenga viwanda na kukuza uchumi sisi tuko bize kuangalia jirani amekula nini/ameenda kusali wapi nk
Qatar waliomuomba Mungu huyohuyo aliyeombwa pale msalabani au walimuomba mungu tofauti?
Ila Equardo hawakumuomba Mungu anayeitwa Alah (more than 90% ya wananchi ni Christians) kwa sababu hawamuamini.
Sasa huyo mungu aliyesikia maombi yao na akayajibu na akayakacha ya Qatar ni yupi huyo?
Ndomaana siwez kuabudu miungu yakijinga kama hio. Yani mungu ananiahidi kua nikimuomba atanijibu alafu namuomba nisafiri salama ila yeye anaacha nipate ajali nivunjike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndomaana siwez kuabudu miungu yakijinga kama hio. Yani mungu ananiahidi kua nikimuomba atanijibu alafu namuomba nisafiri salama ila yeye anaacha nipate ajali nivunjike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka JIULIZE kila mtu akiomba awe mzima.hospital zitawapa wapi wagonjwa?
Je madaktari na manesi watafanya kazi gani?wauza majeneza?wachimba makaburi,wauza maua,wauza sanda?viwanda vya kutengeneza madawa?
Kuna watu wanasubiri wewe upate matatizo ili wao waingize pesa.sasa kila Dua ikijibiwa unadhani dunia ingekuwaje?
Ndio kitu ninachosema mm. Uombe usiombe mambo kama ni kutokea yatatokea tu.. so why waste time kuomba kama hutojibiwa? Na unajua kwann hujibiwi? Kwasababu unaemuomba hayupo...[emoji23]Kaka JIULIZE kila mtu akiomba awe mzima.hospital zitawapa wapi wagonjwa?
Je madaktari na manesi watafanya kazi gani?wauza majeneza?wachimba makaburi,wauza maua,wauza sanda?viwanda vya kutengeneza madawa?
Kuna watu wanasubiri wewe upate matatizo ili wao waingize pesa.sasa kila Dua ikijibiwa unadhani dunia ingekuwaje?
@Kentsuhcy Wrudate biblia ina kitu gani cha maana cha kumfanya muislamu akaacha dini akaenda kuangalia matako ya wakina dada jumapili???Sasa hio ni kutojiamini. Wanajihami mapema... hahah...
Hawatak kupoteza mtu hata mmoja, wanahofia watu wakisikiliza neno la mungu, mungu wa upendo, mungu wa huruma, mungu anaesamehe kutoka kwenye biblia watavutiwa na kuacha uislamu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww bana ni binadamu una uhuru wa kuchagua... ukitaka kwenda kanisani kuangalia matako ya wakina dada. Nenda tu@Kentsuhcy Wrudate biblia ina kitu gani cha maana cha kumfanya muislamu akaacha dini akaenda kuangalia matako ya wakina dada jumapili???
Mie kwanza huwa naingia kila dini nasali sijawa biased na upande fulani na ndio Mana nawapigia wimbo waafrika tuwe na dini zetu.ππππasa mru akislimu we unapata nini au utapata mtumba wa kanzu na kubanzi kwa wingi mana waslam watakuwa wengi huko...?
Na hakuna dini iliyowahi kumuua shetani , dini zote katika dunia zipo zaidi Mia kidogo Ila zote zinahubiri upendo na amani Basi. So upendo ndio dini sahihi mbele ya munyaazi Mungu