Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

sawa umeomba uwe na safari njema.ila siku yako ya kifo imefika.
Utakwepa vipi!?
Na unajua Kama kila kitu kinatokea kwa sababu?
Na hata ajali inatokea kwa sababu.
Ndomaana siwez kuabudu miungu yakijinga kama hio. Yani mungu ananiahidi kua nikimuomba atanijibu alafu namuomba nisafiri salama ila yeye anaacha nipate ajali nivunjike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtangazaji atakuwa anatangaza na shehe Zakir Naik atakuwa anatoa mihadhara. Jamani si zitakuwa kelele hizo?
Halafu mtu umefunga safari kutoka kwenu hadi Doha kwa ajili ya kwenda kuangalia soka, hiyo mihadhara unaenda kuisikiliza ili upate nini? Wanawake 72 mabikira?
Yaani we akili zako haziko sawa kabisa
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.

Unaweza kusikia mtu anajiita mkiristo huku hata robo ya Biblia hajaisoma ndani ya miaka 5 zaidi anasikiliza Vimstari viwili au Vitatu kanisani na vivyo hivyo kwa waislamu (dini sio jina, ni kuifaham kwa upana)
Mimi ni kati ya watu wachache waliobahatia kuhudhuria makongamano makubwa ya Kikristo na kiislamu kwa asilimia 85hivi; yale yaliofanyika nikiwepo mjini. Naweza kusema namjua Mungu kuliko watu wengine weeeengi

Turudi kwenye mada
Kwa namna yoyote ile, kuhudhuria mihadhara ambayo hata haifanywi kwenye viwanja vya mpira, ni utashi wa mtu.
Sasa kama mtu ataamua kwenda kusikiliza hivi inakuhusu nini???
Nafikiri tufike mahala tuheshimu maisha Binafsi ya watu
Wazungu wapo bize kujenga viwanda na kukuza uchumi sisi tuko bize kuangalia jirani amekula nini/ameenda kusali wapi nk; Itakusaidia nini?????
 
Unaweza kusikia mtu anajiita mkiristo huku hata robo ya Biblia hajaisoma ndani ya miaka 5 zaidi anasikiliza Vimstari viwili au Vitatu kanisani na vivyo hivyo kwa waislamu (dini sio jina, ni kuifaham kwa upana)
Mimi ni kati ya watu wachache waliobahatia kuhudhuria makongamano makubwa ya Kikristo na kiislamu kwa asilimia 85hivi; yale yaliofanyika nikiwepo mjini. Naweza kusema namjua Mungu kuliko watu wengine weeeengi

Turudi kwenye mada
Kwa namna yoyote ile, kuhudhuria mihadhara ambayo hata haifanywi kwenye viwanja vya mpira, ni utashi wa mtu.
Sasa kama mtu ataamua kwenda kusikiliza hivi inakuhusu nini???
Nafikiri tufike mahala tuheshimu maisha Binafsi ya watu
Wazungu wapo bize kujenga viwanda na kukuza uchumi sisi tuko bize kuangalia jirani amekula nini/ameenda kusali wapi nk
Naona umeandika uchuro tu hapo dada adelina kimambo
 
Wamemuomba Mungu gani wakati Mungu ni mmoja?
Ila Equardo hawakumuomba Mungu anayeitwa Alah (more than 90% ya wananchi ni Christians) kwa sababu hawamuamini.

Sasa huyo mungu aliyesikia maombi yao na akayajibu na akayakacha ya Qatar ni yupi huyo?
 
Kaka JIULIZE kila mtu akiomba awe mzima.hospital zitawapa wapi wagonjwa?
Je madaktari na manesi watafanya kazi gani?wauza majeneza?wachimba makaburi,wauza maua,wauza sanda?viwanda vya kutengeneza madawa?
Kuna watu wanasubiri wewe upate matatizo ili wao waingize pesa.sasa kila Dua ikijibiwa unadhani dunia ingekuwaje?
Ndomaana siwez kuabudu miungu yakijinga kama hio. Yani mungu ananiahidi kua nikimuomba atanijibu alafu namuomba nisafiri salama ila yeye anaacha nipate ajali nivunjike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka JIULIZE kila mtu akiomba awe mzima.hospital zitawapa wapi wagonjwa?
Je madaktari na manesi watafanya kazi gani?wauza majeneza?wachimba makaburi,wauza maua,wauza sanda?viwanda vya kutengeneza madawa?
Kuna watu wanasubiri wewe upate matatizo ili wao waingize pesa.sasa kila Dua ikijibiwa unadhani dunia ingekuwaje?

Yote uliyosema ni maisha kwa ujumla. Na umemaliza kwa kusema dua na maombi hayafanyi kazi. Tunacho kiishi ndio maisha
 
Kaka JIULIZE kila mtu akiomba awe mzima.hospital zitawapa wapi wagonjwa?
Je madaktari na manesi watafanya kazi gani?wauza majeneza?wachimba makaburi,wauza maua,wauza sanda?viwanda vya kutengeneza madawa?
Kuna watu wanasubiri wewe upate matatizo ili wao waingize pesa.sasa kila Dua ikijibiwa unadhani dunia ingekuwaje?
Ndio kitu ninachosema mm. Uombe usiombe mambo kama ni kutokea yatatokea tu.. so why waste time kuomba kama hutojibiwa? Na unajua kwann hujibiwi? Kwasababu unaemuomba hayupo...[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hio ni kutojiamini. Wanajihami mapema... hahah...
Hawatak kupoteza mtu hata mmoja, wanahofia watu wakisikiliza neno la mungu, mungu wa upendo, mungu wa huruma, mungu anaesamehe kutoka kwenye biblia watavutiwa na kuacha uislamu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
@Kentsuhcy Wrudate biblia ina kitu gani cha maana cha kumfanya muislamu akaacha dini akaenda kuangalia matako ya wakina dada jumapili???
 
1. Nimesikiliza hata maulamaa kadhaa hata wao wanaipinga Qatar vibaya mnoo juu ya suala hili. Wamejichanganya mno aisee. Wao kama wameamua kuandaa Kombe la Dunia wasingeleta hizi mambo za dini.

2. Hizi mada za dini zimekithiri siku hizi @Mexence Melo futeni hizi thread hazina faida zaidi zinatuletea tu uhasama wa kipuuzi.
 
.
FB_IMG_16690629521406165.jpg
 
😂😂😂😂asa mru akislimu we unapata nini au utapata mtumba wa kanzu na kubanzi kwa wingi mana waslam watakuwa wengi huko...?
Mie kwanza huwa naingia kila dini nasali sijawa biased na upande fulani na ndio Mana nawapigia wimbo waafrika tuwe na dini zetu.
 
Back
Top Bottom