Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Dini isiyo heshimu dini nyingine mm kwanga hua naiona ni uchafu tu nashukuru sana kuzaliwa mkristo maana naheshimu dini zote maana kama wao wanamuomba Mungu wao na anawajibu kihelehele cha nn ww kujifanya ndo uko sahihi .Mungu sio mnavomfikilia ww jiulize india na china ina watu billion ngapi ina maana Mungu hawataki hao ama hao ndo hawaombi ???mbona mambo yao yako poa tu.
Sasa njoo bongo unakutana mtu amepauka ananuka shida .. kapigika na maisha anajifanya anamjua sana Mungu hua naishia kucheka tu.
 

uko sahihi mkuu
 
Ana kichaa cha akili na watakaomruhusu kufanya hiyo mihadhara hawajielewi
 
Ni rahisi sana maaskofu nao waombe hadhara hasa wa marekani
 
Kwahyo wana muda na dini inayotangaza mauaji ili kupata mabikra 72 eti ?!
Saana,baada ya 9/11 vitabu vya kiislam vilikua vikihitajika mno kiasi kupotea sokoni,na wazungu wanasilimu Sana,haraka haraka ni Arthur wagna afd,akiwa kiongozi wa chama Cha kupinga German Islamization,aliposoma Qur'an akasilimu akajivua na uanachama
 
Wakarimu..??..😅😅😅

Dunia nzima inayumba sababu ya magaidi wa kiislam, kuanzia baba lao IS,Alshabab,Alqaeda, na mengiyo mengi tu....

Hebu mrudie kuwaslimisha hao kwanza ndipo dunia ione ustakharabu wa waislam...
 
Ana MACHO YOTE MAWILI ?...kama anayo basi wala hatujali.
 
Anasilimisha wakristo au anaarabisha Waafrika kuingia ujinga wa kiarabu?
 
Seedorf hajawahi kujazwa na Roho Mtakatifu. Seerdorf alikuwa Mkristo wa mchongo. Angesilimishwa Kaka tungeamini kwamba mmemsilimisha Mkristo
Hakuna anaesilimishwa. Mtu husilimu mwenyewe kwa hiyari yake.

Unajuwa maana ya neno "kusilimu"?
 
Anasilimisha wakristo au anaarabisha Waafrika kuingia ujinga wa kiarabu?
Unaonesha hata unachokiandika hukielewi.

Waafrika ni nini? Waarabu ni nini?

Hivi huèlewi kuwa Waarabu wengi duniani ni Waafrika?

Au wewe ni wale wa zile shule zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…