Denge1999boy
Member
- Jul 2, 2018
- 6
- 5
yesu atabaki kuwa mkuu bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaenda kuangalia mashindano ya kombe la dunia yeye analeta mambo ya mhadhara wa kidini, sio pahala pake.
Na kwenda mbinguni hakuhusiani katu na mambo ya kuslimu, hayo mambo ya kuslimu yanabaki hapa hapa duniani, hizo ni siasa tu religious politics.
Saana,baada ya 9/11 vitabu vya kiislam vilikua vikihitajika mno kiasi kupotea sokoni,na wazungu wanasilimu Sana,haraka haraka ni Arthur wagna afd,akiwa kiongozi wa chama Cha kupinga German Islamization,aliposoma Qur'an akasilimu akajivua na uanachamaKwahyo wana muda na dini inayotangaza mauaji ili kupata mabikra 72 eti ?!
Wakarimu..??..😅😅😅Waislamu ni wakarimu na ni watu wanaothamini utu wa mwanadamu, na wanaongozwa na Mwenyezi Mungu na Mtume wake katika kufanya mambo yao kwa uadilifu, hisani na huruma.
Ni kwa kuishi kwa wema, na kujenga uhusiano mwema na wasio Waislamu ndipo Waislamu wanapoweza kufanya Da’awah na kuwalingania wasio Waislamu katika njia ya Haki ya Uislamu.
Ameenda kutoa hoja za watu kuukubali uislamuMpira si Haram...!
Ameenda kufanya nini.
Ana MACHO YOTE MAWILI ?...kama anayo basi wala hatujali.Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.
View attachment 2422130
Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.
"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.
View attachment 2422132
.................
Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022
View attachment 2422135
Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.
Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.
View attachment 2422136
Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.
Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.
Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.
View attachment 2422138
Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.
Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Bikra 72Kwahyo wana muda na dini inayotangaza mauaji ili kupata mabikra 72 eti ?!
Hakuna anaesilimishwa. Mtu husilimu mwenyewe kwa hiyari yake.Seedorf hajawahi kujazwa na Roho Mtakatifu. Seerdorf alikuwa Mkristo wa mchongo. Angesilimishwa Kaka tungeamini kwamba mmemsilimisha Mkristo
Unaonesha hata unachokiandika hukielewi.Anasilimisha wakristo au anaarabisha Waafrika kuingia ujinga wa kiarabu?
Wakifanyia kombe la dunia huko, ataenda.Angeenda iran kutuliza waislamu wanao kengeuka.