Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Huwa kuna muda nawapinga Wamarekani ila baada ya miaka kadhaa nagundua nilikosea. Nilikuwa naunga mkono Qatar kuandaa mashindano haya huku nawaponda Wamarekani waliosema kuna figisu zilitumika. Sasa hivi ndio naamini ni kweli, kombe linaenda kuwa la kijinga kupoteza umaarufu na itakuwa vigumu kwa FIFA kupeleka mashindano haya tena Uarabuni.

Mashabiki wenyewe ndio hawa hapa wameenda kusoma vifungu hapo stadium. Yani mtu anaamini kombe kuwa Qatar ni heshima kwa Uislamu
 
In the Qur’an, Jesus, peace be with him, is called Kalimat Allah, the “Word of God,” or rather, to be more precise, he is referred to as kalimatin min Allah “a Word from God.”

1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:1

JESUS CHRIST IS THE KING OF KINGS!!!
Hapa kwenye neno "neno" weka mungu,tuone hii argument validity yake
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Mkristu utamsilimisha ila hatakufa akiwa Muslim
Lazima tu atarudi kwenye ukristu
Hapo ndio ujue Yesu ni Bwana
Na Bwana anawajua walio wake
 
Huyo ni gaidi. Hana lolote analopambana nalo. Waislam wa Canada waliomba Serikali ya Canada impige marufuku kuingia Canada na ombi lao lilikubaliwa.

Naik anawezaje kuwa mfano mwema kwa Waislam wakati hata nchi za Kiislam hazimtaki. Hana tofauti na Osama

Tv yake ya Peace tv imepigwa marufuku hata Bangladesh ambayo ni nchi ya Waislam wengi. Huyu hahubiri dini bali anahubiri ugaidi
Alifanya tukio gani la kigaidi!?..maana unaongea Hadi mate yanaruka
 
Kwa upande wetu hao ndio wanaoitwa akina mwamposa. Mnamuabudu sana aiseee
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Mimi nilidhani ametua Qatar kuwahamasicha waislamu waandamane kupinga mashindano ya kombe la dunia kufanyika Qatar kwa sababu hayo ni mashindano ya kikafir kwa muislamu anayeijua dini.
Mleta mada kama hufahamu haya, inabidi utambue kuwa.

1. Qatar kwa sasa imejaa pombe za kufa mtu. Watu watakunywa mpaka basi.

2. Qatar kwa sasa kumejaa malaya, makahaba, mashoga wa kila rangi.

3. Qatar kwa sasa kumejaa makampuni ya kamari.

4. Qatar kwa sasa kumejaa maelfu wa wanawake waliovaa mavazi yaliyokosa heshima kwa wanawake wa kiislamu.

5. Qatar kwa sasa kumejaa makundi ya kigalatia yaliyokuja kuhubiri ukristo na tamaduni zake.

Baada ya kwisha kombe la dunia ndio mleta mada utaelewa hichi nilichokiandika, maana utaona athari zake.
 
Kumbuka Drogba naye anaelekea huko huko, bado anawapumbaza lakini nuru ameshaiyona tayari. Kukana kwake ni kuwapumbaza na kuhofia asitengwe.
Drogba akibadili ajabu lipi? Ni binadamu tu. Ukweli haubadiliki sababu ya mtu kubadili dini.

Ukweli ni huu, Yesu alizaliwa na Bikira Maria, akateswa, akafa, akazikwa, siku ya tatu akafufuka kadri ya maandiko! Akapaa mbinguni, yuko mkono wa kuume mwa Mungu Baba, toka huko atakuja kuhukumu wazima na wafu!

Yesu ndio atayekuja kuhukumu ulimwengu! Usalama wa roho yako ni kuamini na kubatizwa! Ukivumilia hata mwisho UTAOKOKA!

TUMSIFU YESU KRISTO!!!
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Muhamad hajawah kutumwa na Mungu
 
Hao Qatar kama kweli wasingetaka mambo yanayokuja (yanayoambatana) na kombe la dunia ndani yake ilikua busara kutoomba kuandaa kombe la dunia. Maana sioni msingi wa wao kutumia pesa nyingi kwa ajili ya kuandaa kombe la dunia ambayo kimsingi hawatapata faida yoyote.
Wao kama kweli taifa la kiislam ilipaswa wasiandae kombe la dunia period.
Wanafiki tu. Mambo ya dini mazito.
 
Nyie walevi wa dini Ni wapumbavu sana, hakuna dini ambayo inaweza simama na kuisemea ubaya dini nyingine, Mimi naamini Mungu Hana dini, angekuwa na dini Basi dunia mzima ingekuwa na dini moja tu na watu wote wangeifuata.

Muislamu, mkristo, myahudi, mbudha, nk wote Ni wa Allah ikiwa watatenda mema n
 
Hata kama wamezuia pombe tutaenda na viroba.Kama wameandaa mashindano kwa lengo la kueneza dini, wamefeli. DUNIANI hakuna mjinga WA kiwango hicho
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Namuonea wivu atakapo kuwa na bikira 72 akizitindua huko kwa Allah
 
Back
Top Bottom