Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Hamuaminiki kwa figisu na uongouongo Nyie...mjinga tu ndiye atamwamini mwamposaMbona huku kawe kwa Mwamposa anazidi kuzoa waumini kutoka upande wa huyo gwiji. Mwambie aje apambane na huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuaminiki kwa figisu na uongouongo Nyie...mjinga tu ndiye atamwamini mwamposaMbona huku kawe kwa Mwamposa anazidi kuzoa waumini kutoka upande wa huyo gwiji. Mwambie aje apambane na huku.
"wahofiwa''- yani ni nani ana hofu!?Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.
View attachment 2422130
Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.
"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.
View attachment 2422132
.................
Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022
View attachment 2422135
Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.
Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.
View attachment 2422136
Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.
Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.
Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.
View attachment 2422138
Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.
Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Msitupigie kelele hapa na makobaz yenu hayo shuwainiQatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Kwani uislam na ugaidi ni tofauti?Tatizo ww unadhani kila mzungu ni mkristu wengi ni watu wasio na dini. Wakikutana na gaidi kama naik wanajiunga naye huku wanaendelea kula bia na kitimoto mradi wapate furaha ya WC.
Kwa mujibu wa India, Bangladesh, Sri Lanka, UK na Canada Zair Naik ni gaidi. Tena amekimbia India ameenda kujificha Malaysia ili asikamatwe
Those who care.Who cares?
Peleka world Cup ya dharura,ataenda.Iran pana mhitaji kwa dharura zaidi.
Hii nchi hiiAcheni unafiki. Jee huyo Allah alikuwa wapi wakati Qatar wanacharazwa mabao 2-0 na Equador nchi ambayo asilimia 92% ni Wakristu (80% Roman Catholics, 11% walokole).