Bingwa wa 'software' anahitajika

Bingwa wa 'software' anahitajika

Sasa unataka cv au kazi?
Katika mihangaiko yangu nishawai fanya kazi developers sio independent tu hata firm kubwa tu za India, UK hadi USA wao kabla hamjaanza kazi wanakutajia sample project zao na wanakupa hadi root access za system zao uangalie wanakwambia uite hata IT consultant wako akague! Nakushangaa wewe unaetaka ulipwe😅. Mfano mdogo ni hizi FREE TRIAL
 
Mimi kama hujasaini NDA hupati details kwangu. Anyway hapa nilikuwa namzingua jamaa na kuchangamsha uzi wake. Mimi ni mtaalamu wa computer networking
 
Nafanya Kazi Na Asas. Swala la Software Ni Zito Mnoo. Ongeza budget Au Tafuta Vipawa Ambavyo Havijui kuwa Kuna kipawa ndani mwao Kitaani wapo ila utapoteza mda Na usipate Chochote... Labda Kama Na ww Ni Kipanga Kwenye izi Kazi
 
Ila Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.

Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.
Bro naomba nipe nikuchek inbox juu ya hilo wazo
 
Habari wakuu?

Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.

Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-​
  • Iwe ni rahisi kutumia​
  • Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili​
  • Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote​
  • 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji​
  • Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya​
  • Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji​
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.

Tupige kazi.​
Hamna hata namba ya simu, uko serious kweli?
 
Chukua software za wazungu..usipende vitu simple
 
Ila Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.

Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.
Samahani mnaoongea hapa mmesoma kozi inaitwaje nimpeleke mwanangu akaosomee huu utaalam?
 
Kuna watu mnachekesha kweli, Hiyo project ya Adobe yenyewe imecost millions of dollars wewe unazungumzia developer wa bongo akutengenezee?? Hizo ni software kubwa mno sio Tanzania tu hata Afrika bado hatuna hao wataalam
Tuna maprofesa wa IT na kompyuta pale jalalani, UDOM, DIT nk nk, unataka kusema nao hawawezi?
 
Hiyo kazi labda utafute muhindi,sana sana labda uende pico unaweza pata wataalam.

Wabongo wazinguaje sanaa
 
Back
Top Bottom