Habari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia
Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili
Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote
'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji
Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya
Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.