Bingwa wa 'software' anahitajika

Bingwa wa 'software' anahitajika

Habari wakuu?

Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.

Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-​
  • Iwe ni rahisi kutumia​
  • Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili​
  • Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote​
  • 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji​
  • Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya​
  • Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji​
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.

Tupige kazi.​
Umetoka kuomba kutengenezewa 3d animation Kwa Lisaa li 1, pila malipo
Saa ivi unataka kutengenezewa software ya animation Kwa 2ml tsh.

Una jitia aibu 🥺🚮 Mzee 😂
 
Ujuzi wako uko kwenye nini?
 
Hivi unaweza ukawa profesa/PhD holder wa MD alafu usiwe daktari bingwa? Uko serious kweli?
Tatizo la watu wengi wana vyeti, ila uhalisia kwenye utendaji ndio tatizo lilipo. Bora cheti kiwe ovyo, ila utendaji (practical) iwe juu.
 
Ila Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.

Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.
nitaitakutafuta unipe mbinu hizo mkuu
 
Creating animation
Kama wewe ni bingwa, tengeneza hii 'clip':-
  • Kiazi: rafiki yangu yai, hujambo?​
  • Yai: Sijambo kabisa rafiki yangu kiazi, nasikia leo binadamu anataka atukaange; 'mimi, wewe, pamoja na rafiki yetu mafuta.'​
  • Kiazi: hee!! jamani, mbona binadamu anatuonea hivi?​
  • Mafuta: Msilie rafiki zangu kiazi na yai; 'haya ndio maisha tuliyoyachagua'​
 
Na hapo kwenye kutoa mafunzo hii Kwa kila mtumiaji hii so rahisi,
Pia program lazma iwe strictly angalau Iwe Bora zaidi,
Ni kwamba kadiri program au software inavozid kua rahisi kitumia ndio hata vitu vitakavotengenezwa navyo vitakua very low ( quality & design)

Ila prgrm ikiwa nzito kutumika yenye vitu strictly na code za maana hata animation zotakua Bomba sana,

Habari wakuu?

Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.

Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-​
  • Iwe ni rahisi kutumia​
  • Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili​
  • Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote​
  • 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji​
  • Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya​
  • Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji​
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.

Tupige kazi.​
 
3D animation software mbona zipo nyingi tuu, nunua moja and learn how to use it, not sure hata kama unahitaji developer kwenye project yako labda kwa project guidance/ deployment etc
 
Kama wewe ni bingwa, tengeneza hii 'clip':-
  • Kiazi: rafiki yangu yai, hujambo?​
  • Yai: Sijambo kabisa rafiki yangu kiazi, nasikia leo binadamu anataka atukaange; 'mimi, wewe, pamoja na rafiki yetu mafuta.'​
  • Kiazi: hee!! jamani, mbona binadamu anatuonea hivi?​
  • Mafuta: Msilie rafiki zangu kiazi na yai; 'haya ndio maisha tuliyoyachagua'​
Kazi ya miezi m4 kwa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapo kwenye kutoa mafunzo hii Kwa kila mtumiaji hii so rahisi,
Pia program lazma iwe strictly angalau Iwe Bora zaidi,
Ni kwamba kadiri program au software inavozid kua rahisi kitumia ndio hata vitu vitakavotengenezwa navyo vitakua very low ( quality & design)

Ila prgrm ikiwa nzito kutumika yenye vitu strictly na code za maana hata animation zotakua Bomba sana,
Lengo ni kurahisisha kazi; tukiruhusu kila kitu kiwe kigumu hakuna kazi itakayofanyika. Ni sawa na mwingine atumie gari kwenda Mwanza, na mwingine atumie ndege; mwisho wa siku wote wamefika Mwanza.
 
3D animation software mbona zipo nyingi tuu, nunua moja and learn how to use it, not sure hata kama unahitaji developer kwenye project yako labda kwa project guidance/ deployment etc
Nimejaribu kuzipitia, naona zina ugumu; zina vitu vingi vinavyoumiza kichwa.
 
Back
Top Bottom