Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Umetoka kuomba kutengenezewa 3d animation Kwa Lisaa li 1, pila malipoHabari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiajiKwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.
Saa ivi unataka kutengenezewa software ya animation Kwa 2ml tsh.
Una jitia aibu 🥺🚮 Mzee 😂