kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Nini mkuu?Mmmh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini mkuu?Mmmh!
Sema jamaa naye alikuwa mwaminifu, hakumkana alipoulizwa uhusiano wake na mdada. (Ila inawezekanaje jamaa akubali kumfahamu mdada kwa situation kama ile!?!?! Najiuliza).Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura.
Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli.
Siku moja akiwa Mlimani City kwenye Birthday ya rafiki yake, akakutana na jamaa flani. Anadai jamaa alikuwa kamzidi sana maana yeye kwa kipindi
Hata mimi nlijiuliza same question. Huenda alikuwa anampenda kweli ila pia alitaka ambebee zaga. Na ndo maana alikuwa worried hadi kupiga simu na kumtuma tax driverSema jamaa naye alikuwa mwaminifu, hakumkana alipoulizwa uhusiano wake na mdada. (Ila inawezekanaje jamaa akubali kumfahamu mdada kwa situation kama ile!?!?! Najiuliza).
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Kama alikuwa anaenda Moshi why asitumie private transport au hata Basi akaamua kutake risk ya kutumia Ndege wakati anaenda hapa hapa TZ huku akiwa amembebesha mwenzake madawa?hapa naomba ufafanuziJumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura.
Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli.
Hujaelewa walienda mosh then KIA kwa ajaili ya safari ya kwenda huko west africa. Airport KIA alikamatwa akiwa anaenda kukwea pipa to Sierra LeoneKama alikuwa anaenda Moshi why asitumie private transport au hata Basi akaamua kutake risk ya kutumia Ndege wakati anaenda hapa hapa TZ huku akiwa amembebesha mwenzake madawa?hapa naomba ufafanuzi
Mitoto ya kizungu ikishakupenda tu inafaya lolote lile unalowaambia!!Duuuh, na mitoto ya kizungu inavyojifanyaga much know haishauriki acha wawatumie.
Daah wazee wa chai hadi huku mpo [emoji23][emoji119]stori za icho kipindi nyingi hua ni chai
Kuna mambo kadhaa yanatia shaka kwenye stori hii, kiasi kwamba yanaonekana kuwa ni hypothetical, hayana ukweliJumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura.
Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli.
We huoni kuwa boyfriend alikuwa anampanga huyo dada ili ambebeshe unga halafu amtangulize kwanza yeye.Kuna mambo kadhaa yanatia shaka kwenye stori hii, kiasi kwamba yanaonekana kuwa ni hypothetical, hayana ukweli
MOJA: Ticket kukosekana Dar es Salaam halafu kupatikana KIA, hii ni paradox
MBILI: Ticket moja tu kupatikana KIA, na si mbili. Another paradox
Binti huyu alikuwa anajua nini alikuwa anafanya, na possibly siku anakamatwa haikuwa mara yake ya kwanza. Ndiyo maana alifungwa
Miaka takriban 7 binti yuko ndani lazima wapelelezi watakuwa walijiridhisha kabisa kuwa alikuwa ameshakuwa mshiriki kwenye biashara hiyo. Hakuna watu waangalifu kama wapelelezi, na hasa wanapokuwa wanafanyia kazi kesi ya mtu ambaye si adui wa mtu binafsi, bali wa JMT. Angalau unapokuwa unashtakiana na mtu mwingine, kwa bahati mbaya wakati mwingine inaweza ikatokea mwenzako akakuzidi hoja za mdomoni mahakamani wakati kumbe uko innocent halafu kuzidiwa kwako huko kukawapelekea wakaamua kulingana na ushahidi ambao mwenzako ameutoa na unaaonekana una-sound zaidi kuliko ule wa kwako, wakati kumbe uko innecent ila ni bahati mbaya umezidiwa hoja tu. Tofauti na unapokuwa wewe umeikosea Jamhuri, huwa wanajiridhisha kabisa kuhakikisha kuwa Jamhuri hawaionei, na wewe pia hawakuonei.
Binti angekuwa hajui kitu kabisa kama ulivyoeleza wewe hapa, na mamlaka za upelelezi zikajiridhisha hivyo kwamba alikuwa hajui chochote kabisa kuhusiana na biashara hiyo, angeishia rumande tu na wala asingefungwa.
Kwa inavyoonekana hapa kwenye stori yako, binti huyu alikuwa anajua kabisa na possibly alikuwa ameshafanya mara moja au mara mbili na kufanikiwa, na hivyo siku hiyo nayo pia alikuwa anajua kuwa atafanikiwa.
Kujua huku ndiko kulikopelekea asiwaage wazazi wake. Haiingii akilini kwamba mtu umepata mchumba wa nje tena wa uhakika, unakwenda kutambulishwa kwao halafu asiwaage wazazi wako, badala yake umuage wifi yako tu. Wifi huyu naye ndiye aliyemponza kwa sababu inaonyesha angalau kulikuwa na cheche zilikuwa zinamfikia pasipo wazazi wa binti kujua
Kuna mwingine kaitwa Malta huko kafungua uzi humu anaomba ushauriJumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura.
Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli.
Siku moja akiwa Mlimani City kwenye Birthday ya rafiki yake, akakutana na jamaa flani. Anadai jamaa alikuwa kamzidi sana maana yeye kwa kipindi hicho alikuwa na umri wa miaka 23. Jamaa wakabadilishana namba wakacheza mziki na baada ya hapo wakawa karibu.
To cut the story short, Manstura alikamatwa tarehe 12 Feb 2014, amekaa ndani kesi ikiendelea kwa miaka kadhaa. Katoka mwaka huu tarehe 12 Feb. Jamaa amehukumiwa kifungo cha maisha.[emoji2827][emoji2827][emoji2827]Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura.
Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli.
Siku moja akiwa Mlimani City kwenye Birthday ya rafiki yake, akakutana na jamaa flani. Anadai jamaa alikuwa kamzidi sana maana yeye kwa kipindi
Yes mkuu, aliingia 12 feb katoka 12 feb yani tarehe ile ile.To cut the story short, Manstura alikamatwa tarehe 12 Feb 2014, amekaa ndani kesi ikiendelea kwa miaka kadhaa. Katoka mwaka huu tarehe 12 Feb. Jamaa amehukumiwa kifungo cha maisha.[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Unajua ambacho kinaweza kuwa kilitokea? Baada ya binti kuwa amekamatwa akiwa kwenye check-in counter, saikolojia ya askari wa Airport itakuwa iliwatuma kuwa huyu mtu hayuko peke yake, lazima yuko na mwenzake maeneo yale karibu.Hata mimi nlijiuliza same question. Huenda alikuwa anampenda kweli ila pia alitaka ambebee zaga. Na ndo maana alikuwa worried hadi kupiga simu na kumtuma tax driver
Pia askari wangejaribu kutambua alikuwa akimpgia nani airport. Inaelekea alikuwa na mtu anayemsaidia kupitisha mizigo pale airport
Aaaagh totlo masire Dogo anayetaka kutawala empire ya wauza ngada.Daaah Mungu awalinde dada zetu na watoto zetu aisee..... maaana hii stroy nasoma nipo om nimemuangalia mwanangu wa kike ni Mungu tu asaidie
Series ya empire itakuwa inamchanganya anataka kuwa kama Tatiq Saint PatrickAaaagh totlo masire Dogo anayetaka kutawala empire ya wauza ngada.
Angalia muda ambao wamedumu kwenye mahusiano na ndiyo utakubaliana na mimi kuiwa binti alikuwa anajua dili. Asingekuwa anajua, asingefungwa!We huoni kuwa boyfriend alikuwa anampanga huyo dada ili ambebeshe unga halafu amtangulize kwanza yeye.
Na ukisoma vizuri walipofika uwanjani KIA kuna mtu alikuwa anampgia simu ila hakupokea, ina maana kwamba pale alikuwa ana mtu wake huenda siku hiyo hakuwepo na ndo maana alitaka watumie uwanja wa KIA.
Kwa akili ya kawaida jamaa alikuwa anamwongopea dada kuhusu ticket kukosekana ili amtangulize
Na JPM hatunae tena.Amekuja akishangaa fly overs. Aliingia akiwa 24 katoka yuko 31