Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

Duuuuh inaogopesha sana lol
 
Watu wa wa West Africa ni wa kukaa nao mbali. Ni watu hatari wale.
Kuna mtu wa Mali alimtapeli dada wa kiarabu miaka ya nyuma kidogo kupitia mahusiano feki dada kashoboka nini jamaa anagonga Kifaransa na mavazi yao yale mazuri. Ni hatari hawa watu.
 
Haelew km msimbazi iko kariakoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani na tulikuwa watu wengi wakanifata Mimi eti niwasaidie wamezidiwa woooi nilivokumbuka hicho kipindi cha national geographic nikasema shindwa shetani hunipati ng'o nikakataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea bhana lol
 
Nikikumbuka Hamisa alivyomegwa na yule bonge nyanya na huko mitandaoni sie wakibongo tukaonekana si kitu.. Nadhani kuna masomo inabidi tuwafunze wadogo zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio wote wanaokamatwa babuuh, hebu nitafutie na mie nichangamkie fursa, soon nimiliki range rover. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan haelewi msimbazi iko wapi na kakulia dar? Haahaahaa

Mkuu elezea kidogo alifanyaje kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huu uzi ni vituko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea bhana lol
Yani parcel yenyewe unaibeba mkononi au waweza tia kwa pochi Sasa kunipa Mimi mtoto wa watu nikasema mhhhh sitaki jela mie sijazaa hata mbegu mbili tatu Ili nikipotea niache chata yangu duniani
 
drug delar hatakiwi kuukimbia msala kama jambazi maana ana dili na mzigo ule wa Uga ana takiwa asolve kwa means yeyote mzigo uende ndio maana alikwama
Duuuuuuh hii hatareeeh sana lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Km wanajua kusimamia ukucha? Wasishobokewe sasa? Lol
 
Ila jamani mbona Vanessa mdee kapendwa kweli na bishoo Rotimi, na yule msukuma Elizabeth Gullam mtz wa big brother aliolewa na Kelvin Mnaija kitambo bado wako wote...so sio wapopo wote bana[emoji849]

Ila naona posh Queen kaangukia pua[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shos sasa Rotimi yule hana huo mda wa kuzungka na ngada, movie na music unamlipa.

Wapopo wa ngada ni hawa hoe hoe wapiga dili, nimekumbka wapopo wa jay dee na giggy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani simu ulikuwa unampigia wewe alafu ukamatwe umkane useme haumjui?
Aliyekua anampigia sio huyo mdada, na hata hivyo angeweza kuchoropoka bila hata kukamatwa, na pia hata kweny cm angekataa sio yeye, jamaa alimpenda kweli manstura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soma Tena habari
 
Yani parcel yenyewe unaibeba mkononi au waweza tia kwa pochi Sasa kunipa Mimi mtoto wa watu nikasema mhhhh sitaki jela mie sijazaa hata mbegu mbili tatu Ili nikipotea niache chata yangu duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mawazo yangu dawa zunabebwa tumboni au kweny bags, kumbe hata parcel zinazoingia kwa pochi lol.
 
Hapo atakataa vipi?
Aliyekua anampigia sio huyo mdada, na hata hivyo angeweza kuchoropoka bila hata kukamatwa, na pia hata kweny cm angekataa sio yeye, jamaa alimpenda kweli manstura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…