Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

Kweli aisee kwa mfano unakuta unamtongoza mdada kwa mara ya kwanza anaingia kingi!!?
hajui hata kama mashine yangu ni ndefu kama nyoka inaweza mtokea mdomoni!!??
yy anaingia tu jumla jumla ilhali hanijui!?
wadada wote hongereni kwa ujasili wa asili
Kwa hiyo akisubiri umtongoze mara mia ndio atakuwa amejua size ya mashine yako?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nikikumbuka Hamisa alivyomegwa na yule bonge nyanya na huko mitandaoni sie wakibongo tukaonekana si kitu.. Nadhani kuna masomo inabidi tuwafunze wadogo zetu
Nasikia yule mzee Baba lazima achungulie ndogo!
Sasa tukimuuliza Hamisa lazima atakanusha tu manake shahidi ni yy pekeyake!
 
Mdogo wake Wema Sepetu Alu John tena mwanachuo nae yuko ndani anakula ugali wa bure kwa kesi ya madawa yeye na bwana ake...
 
Wadada si mnapendaga vya dezo hiyo ndo dawa yenu...
 
[emoji1][emoji2][emoji2]hajui km msimbazi ipo kariakooo
 
Hawa watu hawanaga shukrani kuwabali haraka haraka shidaa,kuwapa miezi taabu!sijui tufanyeje sasa!

Ukimpa siku ya kwanza anakuandika amekukula kimasihara!
Hapo umefanya generalization, ambayo siyo sahihi
 
Huyu binti hakufungwa aliendesha kesi akiwa mahabusu elewa moralstory mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…