Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

Amini usiamini hilo choko ukilirudia litakusumbua hadi unaingia kaburini.

Baadhi ya mabinti ni zaidi ya mashetani na hilo choko lenye komwe likiwemo.
 

Alafu kuna Watu wanawalaumu single mother Wakati wapo wanaume pia wenye tabia zilezile.
Mwanaume hawezi kosa maamuzi na msimamo.
Huyo sio mwanaume labda shoga
 
Hakuna mwenye each and everything anayemtaka ndo maana anakutaka wewe
 
Usithubutu ebu Move on na wewe, kwa hiyo unataka umuache binti wa watu uliyemtia mimba kisa uyo gendaeka anayeenda na kurudi. Acha hizo.
 
Acha ufala wewe yaani una dem mwingine na ana mimba alafu unataka kurudia taka taka iliyokukimbia kwenye shida utakuwa na matope kichwani wewe!
 
Kabla hata sijasoma ndani ila nimesoma tu heading huyo mwanamke hakufai kabisa.
 
Mrudie ili ukitemwa kazini tena akuache uje ulie lie hapa tena.
 
Run nigger run...
 
Huyo hafai hata kuwa mchepuko mkuu anapenda hali ya maisha uliyonayo sio wewe kuna muda penye kutumia akili tusitumie hisia mkuu ni hayo tu boss mwisho maamzi ni juu yako urudi au uchili na huyo mwenye ujauzito 😀
 
Soma ulichokiandika alafu lala ukiamka utapata jibu ! ichi kitu sio cha kuomba ushauri , yani ww mtu alikuacha kisi tuu uliachishwa kazi alafu Leo upo na mtu mwingine Tena umesema kabc ni mjamzito Tena ni mimba Yako ! bro be like man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…