Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi jua labda baba wa kambo alikuwa akimgegeda kabla ya kutoa msaada wowote....Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Hapana kipenzi. Huwezi jua kilikuwa kinatokea nini kwa huyo binti na baba wa kambo. Labda alikuwa hatoi chochote kabla hajapewa tunda kimabavu....Ni suala la muda tu huyo binti na mama yake litawakuta la kuwakuta.
Kichwa cha habari kinadanganya. Hakuna mahali umeonyesha kuwa bibi harusi alimkataa baba yake mlezi. Alichokifanya ni kumpa upendeleo zaidi baba aliyemzaa. Binafsi sioni tatizo maana wale wote muhimu pale wanajua baba yake ni nani na wataendelea kumpa heshima zake. Kama baba mlezi ana watoto wengine ( wa kufikia na wa uzazi wake) aendelee tu kuwalea kwa sababu ni wajibu wake. Hayo mambo ya kutambulishwa katika sherehe sio ya msingi.Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Inawezekana kweli kuna jambo limejificha. Inawezekana kuwa pamoja na kumlipia ada n.k., alikuwa kila siku anamwambia kuwa zile zilikuwa fadhila kwa sababu hakuwa mtoto wakeHuwezi jua labda baba wa kambo alikuwa akimgegeda kabla ya kutoa msaada wowote....
Aisee huyo binti hajakosea hata kidogo. Huwezi kujua ilikuaje mpaka wakaachana. Wanawake ni vichomi sana. Ugomvi wa baba na mama haumuhusu mtoto
Pambana 😂😂Kuna nguvu sana kati ya mtoto wa kike na baba yake mzazi by nature
Japo binti alipaswa kuwapa utambulisho wote no matter what - akil yake haija komaa labda
Nimenasa kwa single mam mwenye 3kids naon kam mnanitoa kwa nguvu zote😁😑
Labda kama kuna sababu ya msingiHapana kipenzi. Huwezi jua kilikuwa kinatokea nini kwa huyo binti na baba wa kambo. Labda alikuwa hatoi chochote kabla hajapewa tunda kimabavu....
Mkuu wala hakuna cha pande mbili. Mzazi ameshakulea, umekua, amekusomesha, umefanikiwa na kazi umepata. Hata kama sio mzazi wako unashindwaje kumshukuru mbele za watu hata kama kuna mambo yaliyokuwa yanaendelea kwa kificho?Nyuzi kama hizi ukitumia hisia hautapata majibu kamili ,labda tungesikiliza pande zote mbili ndio ungeweza kupata picha kamili.
Afu hawataaminii yaan.Ni suala la muda tu huyo binti na mama yake litawakuta la kuwakuta.
Subiri yule mtoto binti kimoso aliyekubambika atakuja kukukataa na mama yake atampeleka kwa baba yake mzazi na wewe mlezi utalia kilio cha mbuzi.Miaka 25 unalea mtoto kama wako alafu dakika za jioni anakukimbia
watibeli kupima DNA ni takwa la lazima😀Subiri yule mtoto binti kimoso aliyekubambika atakuja kukukataa na mama yake atampeleka kwa baba yake mzazi na wewe mlezi utalia kilio cha mbuzi.