Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Uislam mwema sana.

Baba ni yule aliyekuzaa kwa kuoana na mama'ko kwa ndoa tu ukazaliwa wewe. Nje ya ndoa hata kama ni wewe uliyemtia mimba mama'ke jina la baba wa huyo mtoto haliwi lako. Hawezi kukuriyhi, huwezi kumuoza na wala huna jukumu nae lolote la kisheria.

Ukifata Uislam huwezi kukutana na hizo tafrani za kijinga, labda uwe Muislam jina tu na siyo dini.
 
Kwema Wakuu!

Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.

Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,

Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.

Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.

Hata kutambulishwa tuu.

Aiseeh!

Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.

Hekima ni kitu muhimu sana.

Jioni njema
Elewa Damu ni nzito kuliko maji. Ukielewa maana ya huo msemo wala hutateseka na vitu vidogo vidogo kama hivyo.
 
Kuna watu huwa hawajitambui. Kamwe usisahau fadhila alizokutendea mtu. Kwani angetoa shukrani kwa baba mlezi angekufa? Ni ujinga kutothamini mchango wa mtu kwenye maisha yako.
 
Kwema Wakuu!

Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.

Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,

Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.

Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.

Hata kutambulishwa tuu.

Aiseeh!

Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.

Hekima ni kitu muhimu sana.

Jioni njema
Wapi video?
 
Mpumbavu ni yule aliyeingilia mahusiano ya watu.Kapata anachostahili.
 
Kabisa mkuu ilitakiwa kuwepo mtu wa kubalance hali ya hewa. Patia baba mlezi pengine kahangaisha ukoo na watu wa karibu kuwa anaozesha binti yake, process nzima anawapa updates kuhusu mahari na sherehe ndogo ndogo halafu mwisho wa siku hatambuliwi kama baba.

Mkuu hiki kitu tunakichukulia kikawaida ila ni kikubwa.
Mwanaume yeyote anayeoa single mother anakuwa na changamoto ya afya ya akili.
Yakitokea mambo kama haya anakuwa kapata haki yake.
 
Back
Top Bottom