chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Inasikitisha.
Japo tumepata story upande mmoja
Japo tumepata story upande mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu ilitakiwa kuwepo mtu wa kubalance hali ya hewa. Patia baba mlezi pengine kahangaisha ukoo na watu wa karibu kuwa anaozesha binti yake, process nzima anawapa updates kuhusu mahari na sherehe ndogo ndogo halafu mwisho wa siku hatambuliwi kama baba.Umeongea point kubwa sana. Iwapo mchakato wa mahari ulifanywa na baba mlezi hata muoaji angeomba kumtambua ili vita ianze kabla honeymoon haijaanza.
Vijana achaneni na Single Mother's mtalia sana 😀Baba Fala sio Baba labda Mama kacheza fyongo kwa hio sioni ajabu Ila Baba Mlezi ilibidi asikanyage hio harusi apambane na hali yake single mother kipengele kingine
Nimeona hapa. Kuna mtoto ana ufadhili wa kusoma kutoka ulaya na bima ya afya anayo ila baba mzazi anatuma ada kwa mama kama kawaida .Umemaliza kila kitu yani kwakifupi uyo binti alikua ana hudumiwa na Baba yake mzazi na wanawasiliana vizuri tu bila shida ila Mama ake akawa hasemi kwa Baba mlezi
Ndio wanawake wako hivyo kwaio waoaji wawe makini sana wawaepuke single mother'sNimeona hapa. Kuna mtoto ana ufadhili wa kusoma kutoka ulaya na bima ya afya anayo ila baba mzazi anatuma ada kwa mama kama kawaida .
Unataka ubishani usio na tija kwa vitu ambavyo huitaji hata kuambiwa.Kuwa straight, Kila mwanaume wa wapi? Kushauriwa na nani? Kama ni humu JF ina watu laki 6 sijui, sasa haya mahubiri yamefikiaje kila mwanaume? Huyo mzee inawezekana hajui hata kama kuna wahubiri wa usioe single mother.
Kauli yako ngumu. Wanastahili kuolewa ila kuwa makini tuNdio wanawake wako hivyo kwaio waoaji wawe makini sana wawaepuke single mother's
Sio kitu kizuri alichokifanya huyo binti. Waswahili husema Kuzaa sio kazi -Kazi kulea.Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Single mother NomaNimeona hapa. Kuna mtoto ana ufadhili wa kusoma kutoka ulaya na bima ya afya anayo ila baba mzazi anatuma ada kwa mama kama kawaida .
Kweli mkuu,sijajua nini kipo nyuma ya scenario kama hizo, mpaka kumuhudumia mdada siku hizi mioyo inakuwa migumu kila kukicha maana unahisi muda wowote unapigwa chini regardless msaada uliotoaLakini kukosa shukrani ni kubaya kuliko hiyo mipira iliyokufa
USIOEEEEE SINGOOOOO MAZAAAAAA USIOEEEEE MWANAMKEEEEE KAAAMAAA SIOOOOOO BIKIRAAAAAAAAA. ELEWEEEENIIIII ALAAAAAAAAAKwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Kweli mkuu,sijajua nini kipo nyuma ya scenario kama hizo, mpaka kumuhudumia mdada siku hizi mioyo inakuwa migumu kila kukicha maana unahisi muda wowote unapigwa chini regardless msaada uliotoa