Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Umelilea toto la single mother miaka 25 yote umejipinda toto linaolewa credit kwa Baba aliemtia Mimba Mama yake Wewe Baba Mlezi Fala tu kimbelembele chako cha upwiru kimekuponza ukamwaga noti
Japo inauma lakini ni Ukweli na hii inatokana na wanaume wanaotanguliza Nyeye mbele kuliko Akili.

Wewe unahangaika usiku na mchana kutafuta riziki na jasho juu kulea mtoto ambaye Baba aliyemkwanyua mama yaka akatia mimba yeye pesa zake anakula pombe na wanawake wengine.

Ataacha kukudharau?
 
Japo inauma lakini ni Ukweli na hii inatokana na wanaume wanaotanguliza Nyeye mbele kuliko Akili.

Wewe unahangaika usiku na mchana kutafuta riziki na jasho juu kulea mtoto ambaye Baba aliyemkwanyua mama yaka akatia mimba yeye pesa zake anakula pombe na wanawake wengine.

Ataacha kukudharau?
Hio inaumiza mpaka ndani kwenye mifupa
 
Single mothers ni wasengeh tu. Na aliesababisha hivyo ni huyo mama pia, sababu kama angekua anajali angemkanya tena kwa ukali au amgemuandalia mazingira kwamba popote pale asije kumdharau baba yake huyo wa kambo mana hakuna baya alilomfanyia au kuwafanyia yeye na mama yake zaid ya kuwapenda na kuwatunza
Ila leo mzee wa watu ndio analipwa mavi.
Hio ndoa inaenda kufa soon, utarud na mrejesho hapa,nimekaa na gari yangu paleee.
 
Wacha akome

Mzee kama huyo kwann hakuoa binti mpka akaoa mke na mzazi wa mtu?

Kulea bao la mwanaume mwenzako malipo yake ndo hayo.

Wacha akome kupiga mipira ilokufa
 
Wacha akome

Mzee kama huyo kwann hakuoa binti mpka akaoa mke na mzazi wa mtu?

Kulea bao la mwanaume mwenzako malipo yake ndo hayo.

Wacha akome kupiga mipira ilokufa

Lakîni wapo waliolea watoto wakufikia na wanaheshimiwa huku watoto wao wakuwazaa wakiwadharau
 
Kwema Wakuu!

Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.

Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,

Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.

Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.

Hata kutambulishwa tuu.

Aiseeh!

Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.

Hekima ni kitu muhimu sana.

Jioni njema
Ah ndio akome....wee unaenda kulea bao la mwanaume mwenzio kweli una akili au matope 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu,
Mimi siwezi kuoa 0-1 (handicap).
Lkn kwa mnaofanya hivyo tambua kuwa mahitaji unayomhudumia ni hisani tu,siyo uwekezaji.
Lkn pia km hajamtukana mtu wala kumdhalilisha ubaya uko wapi?

Kwamba alipaswa kigeuza kibao aliyemlea ndiye awe mzazi?
Kwani mama yake alikuwa hafanyi chochote ktk familia hiyo mpaka iwe sababu ya kumfanya huyo mlezi apewe taji la baba mzazi?
Crap
 
Back
Top Bottom