Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Umeongea point kubwa sana. Iwapo mchakato wa mahari ulifanywa na baba mlezi hata muoaji angeomba kumtambua ili vita ianze kabla honeymoon haijaanza.
Kabisa mkuu ilitakiwa kuwepo mtu wa kubalance hali ya hewa. Patia baba mlezi pengine kahangaisha ukoo na watu wa karibu kuwa anaozesha binti yake, process nzima anawapa updates kuhusu mahari na sherehe ndogo ndogo halafu mwisho wa siku hatambuliwi kama baba.

Mkuu hiki kitu tunakichukulia kikawaida ila ni kikubwa.
 
Wewe mtoa mama unakujaga kila mara na vi thread vyako vya kusema tuoe singo maza kwa kuwa hawakupenda kuwa hivyo. Unaona madhara yake mkuu.

Ukikuta mwanamke mtaani, muache mtaani huko huko sio kujifanya yesu
 
Umemaliza kila kitu yani kwakifupi uyo binti alikua ana hudumiwa na Baba yake mzazi na wanawasiliana vizuri tu bila shida ila Mama ake akawa hasemi kwa Baba mlezi
Nimeona hapa. Kuna mtoto ana ufadhili wa kusoma kutoka ulaya na bima ya afya anayo ila baba mzazi anatuma ada kwa mama kama kawaida .
 
Nimeona hapa. Kuna mtoto ana ufadhili wa kusoma kutoka ulaya na bima ya afya anayo ila baba mzazi anatuma ada kwa mama kama kawaida .
Ndio wanawake wako hivyo kwaio waoaji wawe makini sana wawaepuke single mother's
 
Kuwa straight, Kila mwanaume wa wapi? Kushauriwa na nani? Kama ni humu JF ina watu laki 6 sijui, sasa haya mahubiri yamefikiaje kila mwanaume? Huyo mzee inawezekana hajui hata kama kuna wahubiri wa usioe single mother.
Unataka ubishani usio na tija kwa vitu ambavyo huitaji hata kuambiwa.
 
Haja
Kwema Wakuu!

Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.

Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,

Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.

Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.

Hata kutambulishwa tuu.

Aiseeh!

Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.

Hekima ni kitu muhimu sana.

Jioni njema
Sio kitu kizuri alichokifanya huyo binti. Waswahili husema Kuzaa sio kazi -Kazi kulea.
 
Haya mambo yapo!
I have a siblings ambaye kalelewa na bibi yangu pamoja na mama angu mkubwa since yupo mtoto!
Kaenda huko mkoani kwenye kanisa analosali akapata mwenza pia akapata wazazi wa kiroho!
Siku ya harusi ndugu wametoka mkoani wanenda kwenye harusi ya mtoto wetu, kwenye utambulisho kawatambulisha wazazi wake ndo wale wazazi wa kiroho afu wengine kasema ni ndugu zake😂😂
Walichoka mbona! Imagine mtu unamlea toka anajikojolea hadi anakuwa afu anakufanyia ivyo… inakata mno!
 
Kwema Wakuu!

Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.

Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,

Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.

Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.

Hata kutambulishwa tuu.

Aiseeh!

Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.

Hekima ni kitu muhimu sana.

Jioni njema
USIOEEEEE SINGOOOOO MAZAAAAAA USIOEEEEE MWANAMKEEEEE KAAAMAAA SIOOOOOO BIKIRAAAAAAAAA. ELEWEEEENIIIII ALAAAAAAAAA
 
Enyi wazazi sio watoto wote wanameza sumu mnazowanywesha, Epukeni kuongeza chumvi mnapoyasema mabaya ya wazazi wenu mliozaa nao.

Hawa watoto wanakua wakichuja kweli na uongo, inafika hatua akikaa ndani anachambua mwenyewe uongo upi ukweli upi.

Sasa kama ulipanda SUMU za uongo fahamu atakaa nawewe kama mjinga ila ata ku surprise siku 1 kama huyu alivyowasurprise huyo baba mlezi.

Nyie kina mama nyie, mtoto akikua mkubwa Mwambie ukweli usiongeze chumvi.

Mwambie tu mwanangu mimi ndio nilizingua kwa baba ako (usimwambie kosa ulilofanya) ila hiii kuwajaza kuwajaza SIO kila mtoto ni ndondocha watoto wengine wapo upstairs vyemaaa.

Kwako mwl.kashasha
 
Kweli mkuu,sijajua nini kipo nyuma ya scenario kama hizo, mpaka kumuhudumia mdada siku hizi mioyo inakuwa migumu kila kukicha maana unahisi muda wowote unapigwa chini regardless msaada uliotoa

Wengi wamejiuliza hivyo

Limekuwa tukio kubwa kuliko shughuli yenyewe
 
Back
Top Bottom