Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
Jidanganye uje ujutie kamwe single mother sio mwanamke wa kuoa shauri yakoKauli yako ngumu. Wanastahili kuolewa ila kuwa makini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jidanganye uje ujutie kamwe single mother sio mwanamke wa kuoa shauri yakoKauli yako ngumu. Wanastahili kuolewa ila kuwa makini tu
Hizo nyumba za kila mwanamme anaeingia mtoto anaambiwa "mwamkie baba'ko" unategemea zitakuwa na kujali?Tufanye ni hivyo ulivyosema.
Lakini ndio amkaushie Baba mlezi hata kumshukuru?
Sio mimi pekee.
Minong'ono ilizuka hata kwa Watu wengine
😀😀Hizo nyumba za kila mwanamme anaeingia mtoto anaambiwa "mwamkie baba'ko" unategemea zitakuwa na kujali?
Siyo kejeli, ni ukweli.😀😀
Únajua kejeli Bibie
Siyo kejeli, ni ukweli.
Elewa Damu ni nzito kuliko maji. Ukielewa maana ya huo msemo wala hutateseka na vitu vidogo vidogo kama hivyo.Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Hapo sawa, kuna maneno mazito inabidi tuyalainishe kidogo.Mara nyingi kejeli huwa ni kweli.
Yaani kumpa ukweli mtu kwa dhihaka
Watoto wa nje ya ndoa na unaishi nao ili
Hapo sawa, kuna maneno mazito inabidi tuyalainishe kidogo.
Tanzania hii watoto wa nje ya ndoa ni wengi kuliko wa ndani ya ndoa.
Na wengi zaidi ni wa kubambikiwa baba.
Wapi video?Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Mpumbavu ni yule aliyeingilia mahusiano ya watu.Kapata anachostahili.Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Kwani alimuomba uo msaada.?Kuna watu huwa hawajitambui. Kamwe usisahau fadhila alizokutendea mtu. Kwani angetoa shukrani kwa baba mlezi angekufa? Ni ujinga kutothamini mchango wa mtu kwenye maisha yako.
Mwanaume yeyote anayeoa single mother anakuwa na changamoto ya afya ya akili.Kabisa mkuu ilitakiwa kuwepo mtu wa kubalance hali ya hewa. Patia baba mlezi pengine kahangaisha ukoo na watu wa karibu kuwa anaozesha binti yake, process nzima anawapa updates kuhusu mahari na sherehe ndogo ndogo halafu mwisho wa siku hatambuliwi kama baba.
Mkuu hiki kitu tunakichukulia kikawaida ila ni kikubwa.
Sio suala la ubishani boss ni ukweli tu kwamba si wanaume wote wamesikia katazo lako la usioe single mother badala ya kunimind bora kuongeza matangazo.Unataka ubishani usio na tija kwa vitu ambavyo huitaji hata kuambiwa.