macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwa upande mwingine kuna wanaolea na kuja kuona matokeo chanya. Ni kwa sababu tu ubaya huvuma kuliko uzuri ndiyo maana husikii. Kwa mfano kwenye hili tukio, kama huyo baba mlezi asingeachwa basi kuna possibility kubwa hii thread isingefunguliwa.ukiwa na huruma kwenye hii dunia ujue kuna siku moyo wako utaumia sana... hv unapata wapi ujasiri wa kulea mtoto wa mwanamme mwenzio... maisha mafupi sana tafuta pesa zikusaidie uzeeni unalea litoto la watu the end of day halikukumbuki..
Limkute kwani amefanya kosa gani? Mtu kumtambulisha baba mzazi ndiyo iwe sababu ya kupata laana,? Hivi nyie watu mkoje! Ulitaka adanganye kuhusu babake mzazi?Lazima liwakute.
Ukimuumiza mtu asiye na hatia malipo yake utayapata hapa hapa duniani kabla hujaondoka.
Wewe jifariji tusio lazima demi ulimwengu hauendi hivyo!
Kwani muandishi wa uzi kasema hakumshukuru mlezi wake au kosa ni kumpa hadhi na heshima baba yake mzazi kumzidi baba mlezi?Ukipewa msaada ukashindwa kutoa shukrani lazima uonekane mtu wa ajabu
Hii ndio mbaya sanaKuna kisa kimoja mtu ukiambiwa unaweza kulia. Jamaa alikuwa anaoa akamtambulisha mama wa bandia kwa sababu tu mama yake ni wa kijijini na amekaa ki-local sana hivyo ''atamwaibisha mbele za watu'' kulinga na maelezo yake.
nawe pia jifariji...Wewe jifariji tu
Halafu wewe mbishi sana. Kabila gani kwani?nawe pia jifariji...
wewe ndie mbishi! kabila sio tabiri ya ubishi wa mtu! mi mnyamwezi hapo vipi..Halafu wewe mbishi sana. Kabila gani kwani?
Huyo mtoto hajitambui! Alitelekezwa halafu analeta nyodo?Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Pole kwa bwana harusi, maana kaoa mwanamke anayepokea ushauri mwingi KUTOKA kwa mama takezazi zaidi. Ndo maana unajuta Baba mlezi hakifurahia Hilo tukio
Mnyamweziiiii...aiseewewe ndie mbishi! kabila sio tabiri ya ubishi wa mtu! mi mnyamwezi hapo vipi..