Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Binti amkataa Baba mlezi siku ya Harusi, ampa heshima zaidi Baba mzazi.

Kwema Wakuu!

Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.

Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,

Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.

Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.

Hata kutambulishwa tuu.

Aiseeh!

Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.

Hekima ni kitu muhimu sana.

Jioni njema
Huyo alikuwa anamjuwa baba'ke mzazi muda mrafu na ana mawasilianao nae ya karibu.

Uliyekuwa hufahamu ni wewe tu.
 
Kwema Wakuu!

Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.

Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,

Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.

Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.

Hata kutambulishwa tuu.

Aiseeh!

Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.

Hekima ni kitu muhimu sana.

Jioni njema
Binti amefanya jambo sahihi kabisa kwasababu Baba yake atabaki kua Baba yake na uyo mlezi atabaki kua mlezi na hakulazimishwa.
 
Mkuu,
Mimi siwezi kuoa 0-1 (handicap).
Lkn kwa mnaofanya hivyo tambua kuwa mahitaji unayomhudumia ni hisani tu,siyo uwekezaji.
Lkn pia km hajamtukana mtu wala kumdhalilisha ubaya uko wapi?

Kwamba alipaswa kigeuza kibao aliyemlea ndiye awe mzazi?
Kwani mama yake alikuwa hafanyi chochote ktk familia hiyo mpaka iwe sababu ya kumfanya huyo mlezi apewe taji la baba mzazi?

Kibinadamu hata mzazi wako anataka malipo
 
Kuna kisa kimoja mtu ukiambiwa unaweza kulia. Jamaa alikuwa anaoa akamtambulisha mama wa bandia kwa sababu tu mama yake ni wa kijijini na amekaa ki-local sana hivyo ''atamwaibisha mbele za watu'' kulinga na maelezo yake.

Hii niliwahi kushuhudia kwa Uncle mmoja july kwetu

Alimkana Mama yake ambaye kwetu alikuwa bibi(rafiki yake bibi yangu mzaa mama)

Ila kwa sasa wote ni marehemu
 
Umenikumbusha kilichotokea kwenye harusi ya binti wa jamaa yangu bodaboda miaka michache iliyopita. Umefika muda wa kutoa zawadi kwa wazazi binti akampa mama yake tu kitenge. Wakati mama anapokea zawadi jamaa yangu anashangaa tu na zawadi zikaisha bila kupata hata moja. Huyu jamaa alizaa mapema , ametunza watoto kwa kufanya kazi tatu tofauti. Ni fundi wa welding, bodaboda na pia huwa anafanya kazi kwenye NGO inayojihusisha na ufugaji wa samaki.Mke ni fundi cherehani. Hawajawahi tengana labda useme hakushiriki malezi ya binti yake.
Kile kitendo kilinishangaza na kunihuzunisha mno ilinichukua muda mrefu kuisahau ile sherehe. Inawesekanaje usahau mzazi mmoja kwenye sherehe yako? Hakupata mwongozo mzuri ? Au ni kukosa tu shukurani kwa baba?.

Duuh hatari Sana
 
Kwema Wakuu!

Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.

Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,

Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.

Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.

Hata kutambulishwa tuu.

Aiseeh!

Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.

Hekima ni kitu muhimu sana.

Jioni njema
Why karma always associated with bad things?
 
Ulirudi kula makande yako.
20240701_162131.jpg
 
HAPO BINTI KAFANYA KWA KUFUATA MAAGIZO TOKA JUU, KWA MAMAKE.
 
Back
Top Bottom