Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPO BINTI KAFANYA KWA KUFUATA MAAGIZO TOKA JUU, KWA MAMAKE.
Alikua na sababu zake, huwezi jua labda step faza alikua abusive
Watoto wa kike huwa wana hicho kitu kwenye DNA zao, very bad, hasa kama baba mlezi alijiaminisha watu yeye ndie mzazi halisi wa mtoto.
Ndio maana Mimi nikatoa tahadhari mapema shauri yenu
Lakini tumeshawaonya mapema kuhusu single motherKwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Ugomvi wa wazazi hauondoi haki ya mtoto
Ukiona hivyo ujue shida iko kwa mama na siyo kwa binti.wanaume tuwe makini na akina mama wenye watoto kabla ya kufanya maamuzi ya kuwaoaKwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Ndio wale wanatoboa lakini hawayaboreshi mazingira ya home, mwisho wa siku wanaanza kuona aibu lakini kufikia level ya kufanya hivyo. Siwezi kupatia picha maumivu ya mama mzazi daahhKuna kisa kimoja mtu ukiambiwa unaweza kulia. Jamaa alikuwa anaoa akamtambulisha mama wa bandia kwa sababu tu mama yake ni wa kijijini na amekaa ki-local sana hivyo ''atamwaibisha mbele za watu'' kulinga na maelezo yake.
Wewe mnyamwezi mwenzangu yaishe basi...ukute nabishana na na mjomba wangu hapawe ulieleta ukabila je...?😅
Sasa Si alikuwa anamhonga mama mtu?Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala hakuonyesha kujali,
Umefikisha miaka 25 ndio anajitokeza.
Siku ya harusi unampa heshima kipaombele huku ukimpuuza baba wa kambo aliyekulea.
Nimeumia sana. Hii sherehe imefanyika jana jioni.
Mzee wa Watu katia huruma kweli. Mama mtu naye ni kama hakuonyesha kujali zaidi ya kufurahia sherehe ya binti yake huku aliyemlea sura yake ikiwa haina furaha.
Hata kutambulishwa tuu.
Aiseeh!
Hata kula sikula nilirudi kula makande yangu.
Hekima ni kitu muhimu sana.
Jioni njema
Duuh!Kuna kisa kimoja mtu ukiambiwa unaweza kulia. Jamaa alikuwa anaoa akamtambulisha mama wa bandia kwa sababu tu mama yake ni wa kijijini na amekaa ki-local sana hivyo ''atamwaibisha mbele za watu'' kulinga na maelezo yake.
Ni tafsiri tuLakini sio kwa hiki kilichofanyika
Nishawahi kusikia kisa kama hiki, na huyo mtoto hata alishaolewa ila baba wa kambo Bado anaomba. Yani watoto walimdharau sana ila hawakumwambia mama yaoUnaweza kuta huyo baba mlezi aliwahi kumuomba mechi huyo binti na kujiharibia heshima. Mwanamke kuolewa na wanaume wengine wakiwa na watoto hasa wa kike, wanapobalehe huwa wanapitia mambo mazito. Ninazo shuhuda nyingi za wababa wa kambo kuwabaka watoto wao wa kambo hadi wengine kuzalishwa kabisa.
Hata mimi nimehisi hivyo kwa sababuHuyo alikuwa anamjuwa baba'ke mzazi mud mrafu na ana mawasilianao nae ya karibu.
Uliyekuwa hufahamu ni wewe tu.
Ni tafsiri tu