Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikali yetu inahangaika kuhudumia watu wenye uwezo kama wasanii ili mradi kupata attention ya watu.Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6.
Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku akifanya vibarua vya hapa na pale lakini miaka sita iliyopita ghafla alipata tatizo hili la kupooza viungo vya mwili, ulimi kuwa mzito na hivyo kushindwa kuongea vizuri, pamoja na kuzimia mara kadhaa kila wiki tatizo linalooendelea hadi sasa.
Kutokana na uwezo duni wa hii familia walishindwa kumpeleka Hospital kubwa kwa uchunguzi zaidi
Binti huyu amepangisha chumba kimoja kidogo akiwa yeye, mtoto wake wa kiume na mama yake huyo huku pembeni kukiwa na Ndoo yenye mfuniko wake ambae mama huyo hutumia kama choo usiku na mchana.
Alfajiri binti hujihimu kuandaa chai kwa ajili ya mama na mtoto wake ambae nae huenda shule na kumfungia mama yake ndani huku ufunguo akiacha kwa jirani hadi mwanae huyo ambae yuko la kwanza atakaporudi mchana na kumpa bibi yake chakula kilichopikwa usiku wa jana yake kwa ajili ya mlo wa mchana, hapo watajifungia ndani wote hadi binti atakaporudi saa moja usiku toka kibaruani.
Mara kadhaa bibi huyo amekuwa akizimia humo ndani na mjukuu huyo humwacha hivyo hivyo hadi fahamu zitakaporejea. Binti hiyo nilipata nafasi ya kumuuliza anagunduaje kama mama yake alizimia mchana na kunijibu kuwa hugundua hilo kutokana na kinyesi kutapakaa kitandani au chini au majeraha atakayomkuta nayo pindi arudipo jioni..
Kama kuna Umuhimu wa kuweka picha ya huyo Bibi mgonjwa basi ntaweka hapa.
Na hata kama kitapatikana wheelchair ♿ kwa ajili ya kumtoa nje wakati wa kuota jua pia itakuwa msaada mkubwa kwenye familia hii.
Wito wangu kwa Serikali iangalie Namna ya kusaidia aina hii ya wagonjwa kwani wapo wengi wanaopitia tabu na inatesa sana familia kwa kuwaletea umaskini na usongo mkubwa wa Mawazo.
Km inawezekana tupate mawasiliano ya binti tumsaidie chochote.jirani anaweza fanya hiyo kazi nafikiri maana ni kitendo cha dakika kadhaa kumtoa nje endapo atapata kiti cha kusukuma
Mkuu hii sidhani kama itakuwa nzuri sana maana Kuna wajanja wanaoweza wakajitokeza na kugawa namba zao, kupokea michango alafu lengo kuu lisitimie.Tupeni namba Tumchangie
Habari hii ni muhimu sana.Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6.
Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku akifanya vibarua vya hapa na pale lakini miaka sita iliyopita ghafla alipata tatizo hili la kupooza viungo vya mwili, ulimi kuwa mzito na hivyo kushindwa kuongea vizuri, pamoja na kuzimia mara kadhaa kila wiki tatizo linalooendelea hadi sasa.
Kutokana na uwezo duni wa hii familia walishindwa kumpeleka Hospital kubwa kwa uchunguzi zaidi
Binti huyu amepangisha chumba kimoja kidogo akiwa yeye, mtoto wake wa kiume na mama yake huyo huku pembeni kukiwa na Ndoo yenye mfuniko wake ambae mama huyo hutumia kama choo usiku na mchana.
Alfajiri binti hujihimu kuandaa chai kwa ajili ya mama na mtoto wake ambae nae huenda shule na kumfungia mama yake ndani huku ufunguo akiacha kwa jirani hadi mwanae huyo ambae yuko la kwanza atakaporudi mchana na kumpa bibi yake chakula kilichopikwa usiku wa jana yake kwa ajili ya mlo wa mchana, hapo watajifungia ndani wote hadi binti atakaporudi saa moja usiku toka kibaruani.
Mara kadhaa bibi huyo amekuwa akizimia humo ndani na mjukuu huyo humwacha hivyo hivyo hadi fahamu zitakaporejea. Binti hiyo nilipata nafasi ya kumuuliza anagunduaje kama mama yake alizimia mchana na kunijibu kuwa hugundua hilo kutokana na kinyesi kutapakaa kitandani au chini au majeraha atakayomkuta nayo pindi arudipo jioni..
Kama kuna Umuhimu wa kuweka picha ya huyo Bibi mgonjwa basi ntaweka hapa.
Na hata kama kitapatikana wheelchair [emoji708] kwa ajili ya kumtoa nje wakati wa kuota jua pia itakuwa msaada mkubwa kwenye familia hii.
Wito wangu kwa Serikali iangalie Namna ya kusaidia aina hii ya wagonjwa kwani wapo wengi wanaopitia tabu na inatesa sana familia kwa kuwaletea umaskini na usongo mkubwa wa Mawazo.
Video pleaseNi Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6.
Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku akifanya vibarua vya hapa na pale lakini miaka sita iliyopita ghafla alipata tatizo hili la kupooza viungo vya mwili, ulimi kuwa mzito na hivyo kushindwa kuongea vizuri, pamoja na kuzimia mara kadhaa kila wiki tatizo linalooendelea hadi sasa.
Kutokana na uwezo duni wa hii familia walishindwa kumpeleka Hospital kubwa kwa uchunguzi zaidi
Binti huyu amepangisha chumba kimoja kidogo akiwa yeye, mtoto wake wa kiume na mama yake huyo huku pembeni kukiwa na Ndoo yenye mfuniko wake ambae mama huyo hutumia kama choo usiku na mchana.
Alfajiri binti hujihimu kuandaa chai kwa ajili ya mama na mtoto wake ambae nae huenda shule na kumfungia mama yake ndani huku ufunguo akiacha kwa jirani hadi mwanae huyo ambae yuko la kwanza atakaporudi mchana na kumpa bibi yake chakula kilichopikwa usiku wa jana yake kwa ajili ya mlo wa mchana, hapo watajifungia ndani wote hadi binti atakaporudi saa moja usiku toka kibaruani.
Mara kadhaa bibi huyo amekuwa akizimia humo ndani na mjukuu huyo humwacha hivyo hivyo hadi fahamu zitakaporejea. Binti hiyo nilipata nafasi ya kumuuliza anagunduaje kama mama yake alizimia mchana na kunijibu kuwa hugundua hilo kutokana na kinyesi kutapakaa kitandani au chini au majeraha atakayomkuta nayo pindi arudipo jioni..
Kama kuna Umuhimu wa kuweka picha ya huyo Bibi mgonjwa basi ntaweka hapa.
Na hata kama kitapatikana wheelchair ♿ kwa ajili ya kumtoa nje wakati wa kuota jua pia itakuwa msaada mkubwa kwenye familia hii.
Wito wangu kwa Serikali iangalie Namna ya kusaidia aina hii ya wagonjwa kwani wapo wengi wanaopitia tabu na inatesa sana familia kwa kuwaletea umaskini na usongo mkubwa wa Mawazo.
Duuh asee kuna siku jamaa alisema kwa uchungu siku akimwona mungu atamuuliza kwann wengine wanaishi maisha ya mateso kwann unampa ulemavu maskini asiye jiweza kwann Mungu ...hata mimi bado najiuliza sana uwepo rehema za mungu na bado maisha duni. mungu anafurahia nini kutizama mtu anateseka kiasi hicho???
Asee kweli atese mtu mwingine ili yeye aabudiwe kweliii hii ni sawaa ...kwann asitumie mbinu nyingine kujipatia hizo ibada kuliko kitesa wengine asee...Watu wengine hupitishwa ktk magumu ili wewe upate kumshukuru na kumuabudu Mungu
Km inawezekana tupate mawasiliano ya binti tumsaidie chochote.
Weka namba za simu either ya kwako au huyo dada ili watu waweze kumsaidia,weka picha ambayo haitadhalilisha bali itaonyesha uhalisia ili watu waweze kuguswa na kusaidia.Namba yako pia ni muhimu ili uweze kutoa msaada utakaohitajika kwani kuna watu huo uwezo wanao,hata kama hawana basi wale wenye kidogo wataweza kusaidia kwa chochote...
Nilikuwa nasubir niombe ridhaa yake kama atakubali kuweka namba yake mtandaoni. Amekubali na ntafanya hivyo pale juu kwenye uziCha kufanya :
- weka location wanapokaa.
- weka namba ya mhusika.
- watu wana utayari wa kusaidia..
- uswahili umekuwa mwingi