fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,026 Reaction score 22,549 Mar 26, 2024 #61 totoadela said: Umeongea ukweli mtupu ila sio kwa serikali yetu hii ambayo kila mtu anawamba usawa wake hamuwazii mwingine anachowaza ni yeye tu Click to expand... So kama tuna hali hiyo je yatupasa kuiangalia huku jamii ikiumia na Kodi wanakatwa? Au kwa mawazo yako unadhani nini kifanyike kurekebisha hali? Sisi wote ni watanzania na tuna haki ya kugawana sawa keki ya taifa.
totoadela said: Umeongea ukweli mtupu ila sio kwa serikali yetu hii ambayo kila mtu anawamba usawa wake hamuwazii mwingine anachowaza ni yeye tu Click to expand... So kama tuna hali hiyo je yatupasa kuiangalia huku jamii ikiumia na Kodi wanakatwa? Au kwa mawazo yako unadhani nini kifanyike kurekebisha hali? Sisi wote ni watanzania na tuna haki ya kugawana sawa keki ya taifa.
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 Mar 26, 2024 #62 Nimeumia sana aisee