Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

Ulimpata lini? Hivi hawa wanawake wanaotoroka home na kwenda kuukalia mpk hawarudi nyumbani hivi uwa wako timamu?
Mimi sijawahi kuwaelewa kabisa… πŸ™Œ inawezekana vipi? Mwanaume anakulaghai tu nawe unakubali mpk kutokurudi nyumbani!??
 
Unafikiri hii nchi ni ya wafungwa wako binafsi? Una akili za kinyapara sana. Ni tatizo kubwa
 
HeheheheheπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚
 
Ulimpata lini? Hivi hawa wanawake wanaotoroka home na kwenda kuukalia mpk hawarudi nyumbani hivi uwa wako timamu?
Mimi sijawahi kuwaelewa kabisa… [emoji119] inawezekana vipi? Mwanaume anakulaghai tu nawe unakubali mpk kutokurudi nyumbani!??
Hawajitambui,yaani lijito haliwazi kuwa nitawapa shida ndugu lenyewe linatoroka tu,

Mtu si unaaga tu,
 
🀣🀣 hawawezagi kubinuliwa kisha waoge warudi nyumbani?? Mimi sielewi aisee
Muhuni jinsi anavyochochelea ukuni arudi nyumbani kufanya nini sasa na yeye kafuata vitu vitamu 😣
 
Hawajitambui,yaani lijito haliwazi kuwa nitawapa shida ndugu lenyewe linatoroka tu,

Mtu si unaaga tu,
Hujawahi kukalia chuma Cha muhuni ukakolea wewe na usiombe ikukute utahama kwenu kwa kumlazimisha akuteke
 
Hujawahi kukalia chuma Cha muhuni ukakolea wewe na usiombe ikukute utahama kwenu kwa kumlazimisha akuteke
Huu ni upuuzi wewe. Watu wana libido za mpaka kumwagika, ila kwenda kwa kijamaa na usirudi nyumbani huo ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu.
 
Huu ni upuuzi wewe. Watu wana libido za mpaka kumwagika, ila kwenda kwa kijamaa na usirudi nyumbani huo ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu.
Yaan hapo amemwagika mpaka UBONGO kamalizwa kaisha anaona yupo paradiso kabisa kumbe ni jaambo la mda tu ndeee kibendi jamaa anaanza kumkana na kumwambia arudi kwao
 
Hawajitambui,yaani lijito haliwazi kuwa nitawapa shida ndugu lenyewe linatoroka tu,

Mtu si unaaga tu,
Heee kuna watu wana uthubutu wa kindezi kweli kweli. Kanatakiwa kachapwe hakoo

Habari za ulipo. Nimeona jana Wasafi walikuwa ulipoπŸ˜‚
Hukwenda kula bata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…