Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

Temana nae
 
huyo kakubali ila anapima kama utakua na uweze wa kumsaidia shida zake
 
Kama hujagundua siku hizi wamekuja na mbinu mpya ya kukupa za uso nayo kukupiga kizinga heavy wakijua kabisa ndiyo tiketi yako ya kusema bye bye
 
Hii kitalam inaitwa REGISTRATION FEE
 
Toa pesa acha ngonjela mingi zisiZo na maana, Kaz ya mwanaume ni kutafta pesa na kumuhudumia mwanamke.

Wanaume tutafte pesa ata km sio nying ila tutafte pesa ili tuweze kuwaudumia tuwapendao.

Mwanaume tunakosa usingizi ili tunaowapenda walale na wapate usingizi iyo ndo nature
 
Angekua kakukubalia afadhali ungejua unahonga dem wako sas ata jibu la ndio hajatoa, mzinga wa 100k,
piga chin uyo, kam una malengo nae bado buni mbinu,

Au kam kipato chako ni kikubwa mpe tu.
 
Oy we sikia sas, ingekua vocha sawa lakin laki uczani watu wote wana uchumi kam wako mzee, usirahisishe mamb ivo mzee, uhudumie mwanamke sio wako
 
Mkuu, kama utampa hiyo hela na huku hujamla tegemea maumivu!
Kamwe mwanamke anae kuomba hela nyingi hivyo ghafla kwa usawa wa Watanzania laki ni nyingi.
Haina maana kwamba ameanza kukupenda la hasha! Ukimpa hiyo atataka na kutaka mwisho utachoka mwenyewe!
Kama kweli amekupenda asingedhubutu kuomba maana ungemdharau kwa kuwa hana mpango na wewe ndio hivyo. Sasa fanya hivi umemtamani/ umempenda? Mwiite Lodge or Guest house mkabidhiane huko
 


Usimkopeshe wewe mpe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…