Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

1000017181.jpg
 
Tatizo lenu mnadanganyana sana kuishi kwa kupretend, hamtendi mnayosema/kufundisha wenzenu.

Ushauri wa mwanamke kwa mwanamke mwenzie sio wa kuutilia maanani kabisa hasa hayo mambo ya mahusiano.

NB. Tafuta pesa binti, usitume uke kama kitega uchumi.
 
wamenuna jiwe linawahusu la leo
Lakini unachowafunza wenzako ni kama aina flani ya blackmailing...

Kutumia sex kama reward au bargaining mbona mnaishi maisha magumu sana kama watumwa...

Ukweli ni kwamba mwanamke kama umemtoa dinner vizuri na ame enjoy na kafurahi kuna asilimia kubwa akavutiwa ku sex na wewe, sio kwa sababu anatumia sex kam reward au bargaining lakini ni ile amekuelewa na anataka ku sex na wewe, kwa sababu anakuwa kwenye mood... Na ukimuudhi mwanamke anakuwa less likely au anakosa mood ya kushiriki ngono na wewe, ndivyo wanawake walivyo...

Kwa hili kusema mpaka kupewa pesa ndipo atoe K ni kujidanganya na huwezi kupingana na asili....
 
Back
Top Bottom