Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Muoaji tu kawekeza zaidi, msosi makazi mavazi mchezo, wazifiche mpaka waje waoaji pekee zaid ya hapo ni biashara
 
acha roho mbaya wewe
huyo mwanaume maskili aamka akafanye kazi awe tajiri amuoe huyu unaemwita mwanamke maskini basi
Wanawake masikini kama Money Penny si wa kuwa nao katika mahusiano hata kidogo, hawafai kwa lolote zaidi ya one night stand na kuwakimbia Guest ukiwaacha wanajilipia bill
 
Kwa wanawake wageni humu kuweni makini na hili likigagula .

Huwa anafunza umalaya na anakuwadia wanawake kwa masponsa halafu lenyewe linapata kamisheni yake

Baada ya muda linapotea humu kisha likiishiwa hela linarudi tena haoa yaani tabia za kishetani sana umri umeenda lakini halitaki kujiheshimu

Sasa hapa linafunza umalaya kwa kuwa yeye amedoda hanunuliki basi kaamua awe dalali eti feminine!

Money Penny kuwa na aibu wewe shangazi
Khee😂 kweli humu kuna watu🙌🏾
 
Back
Top Bottom