Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2


Hii code yako haina mashiko!
Mwanamke anayejitambua ni yule mpambanaji anayeweza kujinunulia Iphone 16 mwenyewe
Hawa wa kushinda Instagram wakituonesha makalio wakisubiri kuhongwa na mwishowe kufanywa Nyumba ndogo, hiyo sio dili la kumpa mwanamke anayejitambua.
Code yangu kwa Mwanamke ni kuwa; hao wanao honga mavitu makubwa ni wakupita tuuu (sio waoaji)
Pambana upate vya kwako, ndio dhamani yako inapanda (Muoaji anataka mtu wa kusaidiana maisha)
Kama mwanamke unataka kuwa shamba la Bibi, endelea kusubiri Iphone 16 ya kuhongwa!
 
Sawa mwenyekiti, unaijua kazi yako vyema, mwanaume na msikie😏
 
Hii ndio shida Dada poa kufika form four na kuwa na smart phone basi JF imeharibika kabisa. Umelaaniwa
Hili dada Money Penny ni malaya wa siku nyingi sana humu huwa haachi tu

Hapa linataka liwachukue wanawake likawafunze umalaya humo WhatsApp yaani halina hata aibu hili mama sijui soko lake limedoda
 
Kwa wanawake wageni humu kuweni makini na hili likigagula .

Huwa anafunza umalaya na anakuwadia wanawake kwa masponsa halafu lenyewe linapata kamisheni yake

Baada ya muda linapotea humu kisha likiishiwa hela linarudi tena haoa yaani tabia za kishetani sana umri umeenda lakini halitaki kujiheshimu

Sasa hapa linafunza umalaya kwa kuwa yeye amedoda hanunuliki basi kaamua awe dalali eti feminine!

Money Penny kuwa na aibu wewe shangazi
 
Labda mkutane na mbwege na madomo zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…