Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Naona unawafundisha kudanga ipasavyo. Sio kila mwanamke wa kumpa fedha, K kama ile ya Kibomba hata buku sitoi.
 
Ila vijana wa sasa ni wa hovyo sanaa, wavulana wanapenda vya Bure kwakua wasichana wameamua kujirahisisha.

Feminism imetafsiriwa tofauti na ilivyo. Ni muhimu kwa mwanamke kujitambua na kujua thamani yake sio kwaajili ya kupata sponsorship Kwa wanaume Bali kutunza utu na heshima yake katika jamii.

Kuna tukio lilinitokea kitambo kdgo, kijamaa kimejileta twende out kufika akaagiza chipsi na mishikaki na maji, binafsi nikienda out lazima niwe na pesa zangu mfukoni ili hata akizingua najilipia nasepa, etii baada ya kulipa bill namskia twendee basi guest, nimebanwa mwenzio, Whaaaaat!!? Hivi umenionaje yaani!?. Kwamba maji mara Moja!?, nikamwambia siendi na hapa narudi nyumbani, akajua utani , akajifanya kutangulia huko guest akajua ntamfata nyuma, mie huyo nikaondoka zangu nyumbani mdogo mdgo , akakata na mawasiliano ..... Mxieeeeee!!!!!. Yote yanatokea kwakua mabint wameamua kujirahisisha, ukitongozwa basi shida zako zoteeee unazitoa , sijala, sijasuka mara Kodi, mtu ataachaje kuona unajiuza kwa style hiyo!?.
 
Money Penny umepata mtu hapa mwenye character za ki feminism
 
Money Penny umepata mtu hapa mwenye character za ki feminism
Wasichana wa sasa wanaboa sanaa, Jana saa 7 usiku mtu anakuja kufanya uzinzi kwenye uchochoro!?. Hvyo kwelii.... Msichana unakubalije uchafu huu!!?. Yaani unakubali uchochoroni !!!?... Kutokujitambua kukubwa kbsaa.

Hata ukija kwenye jamii yangu ukasema yule msichana muhuni sanaa, kwanza watakushangaa yulee!!?? Mmhh!! Ni kwasababu ya kutunza heshima na utu wako kma msichana ndomna ya kuwa feminine sio urembo pekee Bali na kujtunza.
 
ukiwa mwanamke uje kujifunza utajua mengi
kama mwanaume uje darasa la masculine utajua mengi
wala usiahangaike na mimi sitaandika chochote hapa unajisumbua
 
me nadhani umepata changamoto ya afyua ya aklli sababu mama yako hakuolewa bikra
sasa unadhani kila mwanamke ni malaya sababu anakueleza ukweli
acha ubwete nyau wa vya nbure kafanye kazi
 
Huo ushauri ungeanza kujishauri wewe kwanza.
NIMESHAJIFANYIA KAZI NDIO MAANA NAFUNDISHA WANAWAKE 600 SASA
 
Ni wewe na mama yako ndiyo alikuwa kungwi akakufundisha umalaya na sasa unataka kuwafundisha wengine .

Sio ajabu kama mama yako bado mzima ndiyo anakupa mbinu hizi za kimalaya kuchukua waume za watu wewe na mama yako .

Mjitathmini
bro matusi hjayasaidii ila ukweli utabakia pale pale
muda wako wa kupata vya bure toka kwa wanawake umeisha
kafanye kazi upate mke wako umhudumia achana na ubwete wa vya bure
ukitukana haisaidii ukweli ni kwamba wewe ni ubwete
 
Ni namna gani wana join, na kuna joining instructions!?
waje whatsapp watajua jinsi ya kujoin
namba iko youtube channel yangu wakachukue
 
POLE BRO
unahisi mademu zako wakijiunga darasa utakuwa haupati vya bure ndio maana unatukana ovyo na changamoto yako ya afya ya akili
bro nenda kafanye kazi acha ubwete acha vya bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…