Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Wajumbe wanatuvuruga sana aisee mara kama masikio ya ng'ombe mara wwngine huwa wanasema kama mdomo wa nyoka 🤣🤣🤣Hahahaha!!imebidi niangalie masikio ya ng'ombe yalivyolegea😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajumbe wanatuvuruga sana aisee mara kama masikio ya ng'ombe mara wwngine huwa wanasema kama mdomo wa nyoka 🤣🤣🤣Hahahaha!!imebidi niangalie masikio ya ng'ombe yalivyolegea😅
Kuna siku uli upload Kaki cheko kako hebu fanya hivyo na leo tena 😁😁😁
Nakusalimia kwa jina la masikio ya ng'ombe Lamomy 😅Tulia nicheke comments za waungwana 😹😹
Unacheka nini sasa badala ya kukimbilia inbox kwa Kungwi?🤣🤣🤣au we hutaki kupewa hela bila kuomba?
😅Mkuu ManyanzaWajumbe wanatuvuruga sana aisee mara kama masikio ya ng'ombe mara wwngine huwa wanasema kama mdomo wa nyoka 🤣🤣🤣
View attachment 3181100
View attachment 3181101
Naona unawafundisha kudanga ipasavyo. Sio kila mwanamke wa kumpa fedha, K kama ile ya Kibomba hata buku sitoi.1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya
2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia akili ya kuzaliwa
3. kuna wanawake hapa mjini hawajui shida ya hela, wanapewewa hela hata kabla hawajatoa K yao kwa mwanaume
4. kuna wanawake wame-investiwa heavely na wanaume wanaowapenda, ndio wametoa K zao
sasa utachagua wewe, kulia au kucheka
ukitaka kucheka nifuate inbox nikufundishe jinsi ya kujua thamani yako kama mwanamke, jinsi ya kucheka kwenye swala zima la mapenZi na kupendwa. Kilio utasikia kwa majirani
Msimu wa promotion huu 😄😹😹😹
Nimevumilia nimeshindwa imebidi nicheke, raraa umeomba bei ili u-bargain 🤣
Money Penny umepata mtu hapa mwenye character za ki feminismIla vijana wa sasa ni wa hovyo sanaa, wavulana wanapenda vya Bure kwakua wasichana wameamua kujirahisisha.
Feminism imetafsiriwa tofauti na ilivyo. Ni muhimu kwa mwanamke kujitambua na kujua thamani yake sio kwaajili ya kupata sponsorship Kwa wanaume Bali kutunza utu na heshima yake katika jamii.
Kuna tukio lilinitokea kitambo kdgo, kijamaa kimejileta twende out kufika akaagiza chipsi na mishikaki na maji, binafsi nikienda out lazima niwe na pesa zangu mfukoni ili hata akizingua najilipia nasepa, etii baada ya kulipa bill namskia twendee basi guest, nimebanwa mwenzio, Whaaaaat!!? Hivi umenionaje yaani!?. Kwamba maji mara Moja!?, nikamwambia siendi na hapa narudi nyumbani, akajua utani , akajifanya kutangulia huko guest akajua ntamfata nyuma, mie huyo nikaondoka zangu nyumbani mdogo mdgo , akakata na mawasiliano ..... Mxieeeeee!!!!!. Yote yanatokea kwakua mabint wameamua kujirahisisha, ukitongozwa basi shida zako zoteeee unazitoa , sijala, sijasuka mara Kodi, mtu ataachaje kuona unajiuza kwa style hiyo!?.
Wasichana wa sasa wanaboa sanaa, Jana saa 7 usiku mtu anakuja kufanya uzinzi kwenye uchochoro!?. Hvyo kwelii.... Msichana unakubalije uchafu huu!!?. Yaani unakubali uchochoroni !!!?... Kutokujitambua kukubwa kbsaa.Money Penny umepata mtu hapa mwenye character za ki feminism
ukiwa mwanamke uje kujifunza utajua mengiKwa hiyo utaweka hiyo value ambayo mwanaume anatakiwa kuwekeza ili mwanamke ampe K, After all kwa mafundisho ya kidini K inatolewa baada ya kufunga ndoa, na investment ni mahari ambayo mara nyingi haizidi mil. 2.....labda kama unaenda kuwafundisha ufuska.
me nadhani umepata changamoto ya afyua ya aklli sababu mama yako hakuolewa bikraUmefanyq umalaya umechokq na sasa unatqka kuwqtumia wqnawqkwe wenzio kama Fursa kwq kuwauza… kwa wanaume
Wannawake wana enjoy sex sana na wanafikiria kuhisu ngono atlist mara mbili zaidi kwa siku kuliko sisi wanaume : hii ni tafiti ya chuko kikubwa huko marekani.
Thus why hawaitaji kulipwa pesa ili kukidhi haja zao za kimapenzi , unless awe kahaba anayejiuza
Shukrani sana
NIMESHAJIFANYIA KAZI NDIO MAANA NAFUNDISHA WANAWAKE 600 SASAHuo ushauri ungeanza kujishauri wewe kwanza.
bro matusi hjayasaidii ila ukweli utabakia pale paleNi wewe na mama yako ndiyo alikuwa kungwi akakufundisha umalaya na sasa unataka kuwafundisha wengine .
Sio ajabu kama mama yako bado mzima ndiyo anakupa mbinu hizi za kimalaya kuchukua waume za watu wewe na mama yako .
Mjitathmini
waje whatsapp watajua jinsi ya kujoinNi namna gani wana join, na kuna joining instructions!?
okNimekujibu kule kwa conversation ulioanzisha.
POLE BRONdiyo allyofundishwa kwenye ukoo wake Mana ameandaliwa aje kudanga thus hana professional ama career yoyote zaidi ya hiyo.
Yaani skills zozote zile za maisha yeye anatumia mwili wake kujipatia her living hana kitu.
So siku mwili wake ukiwa huna mvuto imeisha na ameshazidiwa na vibinti vya 2008 Mana viko tayAri kwa kuliwa unawawekewa kichwa ikizoea mwili mzima unazama