permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Usizunguke we sema unataka kuandaa malaya professionals.NAWAFUNDISHA UKWELI AMBAO HAUTAKI WASIKIE
[POLE MR UBWETE
KAFANYE KAZI UACHANE NA VYA BURE
Usipojitambua kama Msichana au Mwanaume, hizi ndio sehemu zako zitaathirika.... GIRL CODE NO 4
Ewe mwanamke wewe msichana wewe binti Usipotambua thamani yako kama mwanamke, zitakazoathirika ni 1. sehemu zako za siri 2. utu wako 3. saikolojia yako juu ya wanaume 4. afya ya akili yako nakusahuri, jitambue, jielewe jua thamani yako, jua wewe ndio the price sio mwanaume natoa darasa la...www.jamiiforums.com
BORAIla vijana wa sasa ni wa hovyo sanaa, wavulana wanapenda vya Bure kwakua wasichana wameamua kujirahisisha.
Feminism imetafsiriwa tofauti na ilivyo. Ni muhimu kwa mwanamke kujitambua na kujua thamani yake sio kwaajili ya kupata sponsorship Kwa wanaume Bali kutunza utu na heshima yake katika jamii.
Kuna tukio lilinitokea kitambo kdgo, kijamaa kimejileta twende out kufika akaagiza chipsi na mishikaki na maji, binafsi nikienda out lazima niwe na pesa zangu mfukoni ili hata akizingua najilipia nasepa, etii baada ya kulipa bill namskia twendee basi guest, nimebanwa mwenzio, Whaaaaat!!? Hivi umenionaje yaani!?. Kwamba maji mara Moja!?, nikamwambia siendi na hapa narudi nyumbani, akajua utani , akajifanya kutangulia huko guest akajua ntamfata nyuma, mie huyo nikaondoka zangu nyumbani mdogo mdgo , akakata na mawasiliano ..... Mxieeeeee!!!!!. Yote yanatokea kwakua mabint wameamua kujirahisisha, ukitongozwa basi shida zako zoteeee unazitoa , sijala, sijasuka mara Kodi, mtu ataachaje kuona unajiuza kwa style hiyo!?.
wewe ndio malayaUsizunguke we sema unataka kuandaa malaya professionals.
anajiunga j3 na darasaMoney Penny umepata mtu hapa mwenye character za ki feminism
mletea aje afanye darasa la feminine uone kama utamwona kwako tenaWasichana wa sasa wanaboa sanaa, Jana saa 7 usiku mtu anakuja kufanya uzinzi kwenye uchochoro!?. Hvyo kwelii.... Msichana unakubalije uchafu huu!!?. Yaani unakubali uchochoroni !!!?... Kutokujitambua kukubwa kbsaa.
Hata ukija kwenye jamii yangu ukasema yule msichana muhuni sanaa, kwanza watakushangaa yulee!!?? Mmhh!! Ni kwasababu ya kutunza heshima na utu wako kma msichana ndomna ya kuwa feminine sio urembo pekee Bali na kujtunza.
we utachukua mpaka na sayari uweke hapa haibadilishi nilichoandika
sio kila mwanamke yuko hivi
Taja na madhara ya geisha kwani ndo inatupa viburi baadhi yetu1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya
2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia akili ya kuzaliwa
3. kuna wanawake hapa mjini hawajui shida ya hela, wanapewewa hela hata kabla hawajatoa K yao kwa mwanaume
4. kuna wanawake wame-investiwa heavely na wanaume wanaowapenda, ndio wametoa K zao
sasa utachagua wewe, kulia au kucheka
ukitaka kucheka nifuate inbox nikufundishe jinsi ya kujua thamani yako kama mwanamke, jinsi ya kucheka kwenye swala zima la mapenZi na kupendwa. Kilio utasikia kwa majirani
unawaaminisha mazuzu kwa hariri aliloandika mwanamme mwenzio mbwetekaji haiyaaa
uje ujiunge na darasa whatsapp bro sitoi elimu ya bure hapaTaja na madhara ya geisha kwani ndo inatupa viburi baadhi yetu
Kulinganisha mwili wako na thamani yeyote ya fedha ni umalaya. Kuna malaya wanaenda kujiuza baa wanapaki crown zao. Kuna malaya wamepangishiwa apartment Masaki. Kuna malaya wanaenda kumbotwa south Africa na Dubai. Kaa chini jiulize kwa nini wema na kajala hawasafiri kwenda nje ? Wamechuja. Kuhudumiwa ni relative unachokiona wewe ni kikubwa anaekitoa anaona kawaida. Na mwanaume anakuhudumia ili awe na mazingira mazuri ya kukumbato. Yaani kukuhudumia kwake ni kuboresha starehe anayopata kutoka kwako.1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya
2. My dia, kuna wanawake wenzio ambao hawajui kulia kuhusu wanaume, hawajalogwa hawatumii uchawi wala uganga wanatumia akili ya kuzaliwa
3. kuna wanawake hapa mjini hawajui shida ya hela, wanapewewa hela hata kabla hawajatoa K yao kwa mwanaume
4. kuna wanawake wame-investiwa heavely na wanaume wanaowapenda, ndio wametoa K zao
sasa utachagua wewe, kulia au kucheka
ukitaka kucheka nifuate inbox nikufundishe jinsi ya kujua thamani yako kama mwanamke, jinsi ya kucheka kwenye swala zima la mapenZi na kupendwa. Kilio utasikia kwa majirani
kuna mtu ameongelea pesa kwenye huu uzi kweliKulinganisha mwili wako na thamani yeyote ya fedha ni umalaya. Kuna malaya wanaenda kujiuza baa wanapaki crown zao. Kuna malaya wamepangishiwa apartment Masaki. Kuna malaya wanaenda kumbotwa south Africa na Dubai. Kaa chini jiulize kwa nini wema na kajala hawasafiri kwenda nje ? Wamechuja. Kuhudumiwa ni relative unachokiona wewe ni kikubwa anaekitoa anaona kawaida. Na mwanaume anakuhudumia ili awe na mazingira mazuri ya kukumbato. Yaani kukuhudumia kwake ni kuboresha starehe anayopata kutoka kwako.
Aisee wanawake waliokosa haya malezi wanakuwa bitches on bed. Yaani ukiwatreat kama ladies wanakusumbua. Wanataka matusi kutukanwa na kugombezwa wakikosea. Nililiapa sitapiga mwanamke lakini wawili waliokuwa na character hii ilibaki kidogo tu. Kwa mtazamo wangu wanafaa sana kwa starehe lakini sio kuoa au kuzalisha. Maana hawataki heshima wanataka kunyooshwa katika kila sekta.
inaongezeka lakini sio habari ya free k tenaMtazunguka zunguka lakini mwisho wa siku idadi ya watu Duniani inazidi kuongezeka, Wacha watu wabanjuane baaana!
wale wale wa ubweteAisee wanawake waliokosa haya malezi wanakuwa bitches on bed. Yaani ukiwatreat kama ladies wanakusumbua. Wanataka matusi kutukanwa na kugombezwa walikosea. Nililiapa sitapiga mwanamke lakini wawili waliokuwa na character juu ilibaki kidogo tu. Kwa mtazamo wangu wanafaa sana kwa starehe lakini sio kuoa au kuzalisha. Maana hawataki heshima wanataka kunyooshwa katika kila sekta.