Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Sitafuni bure bali natafuna kwa kadri ninavyohonga. Kuna staa wa bongo movie nilimfanyia kama Buchanon nilifaidi sana. Pesa inarahisisha umalaya hakuna mwananamke nitahonga halafu nimbato kistaarabu.kuna mtu ameongelea pesa kwenye huu uzi kweli
au unajichatua tu
bro rudi shule kasome kiswahili na uache ubwete
kafanye kazi umpate mke wako umhudumie achana na kutafuna wanawake kwa bure