Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

uweee, huyo ambae wana mdiscuss kwa grup whatsapp ๐Ÿ˜€ na picha zake za kila kitu
haiyaaa hongera ndio level yako sikulaumu
Aahhhh usiniambie.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Enheee mnanijadili mnasemaje? Mnatamani kuwa kama mimi?
Woii picha zangu mtoe wapi!? Mnatamani eeeh? Hamtokaa mpate piaโ€ฆ nakazia HAMTOKAA MPATE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
 
Unacheka nini sasa badala ya kukimbilia inbox kwa Kungwi?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃau we hutaki kupewa hela bila kuomba?
Sis nilipie ada nikikwiva nikianza kupewa pesa bila kuomba ntakurudishia na cha juu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kama asipokuelewa hapa atakuwa na shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ