Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Muoaji tu kawekeza zaidi, msosi makazi mavazi mchezo, wazifiche mpaka waje waoaji pekee zaid ya hapo ni biashara
 
acha roho mbaya wewe
huyo mwanaume maskili aamka akafanye kazi awe tajiri amuoe huyu unaemwita mwanamke maskini basi
Wanawake masikini kama Money Penny si wa kuwa nao katika mahusiano hata kidogo, hawafai kwa lolote zaidi ya one night stand na kuwakimbia Guest ukiwaacha wanajilipia bill
 
Khee😂 kweli humu kuna watu🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…