Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

Binti usitoe utamu (K) mpaka mwanaume amewekeza kikubwa kwako... Girl Code 2

we wanaume wenzio wanafanya kazi wewe unaandika barua ya jinsi ya kupata uchi
nakwambia soko lako limeisha wanawake wameamka hamna cha bure tena
ukitaka andika na biblia kabisa hawaji kwa bure
Mbona unapaniki mama! Hahaa huo Ndio ukweli na utakuweka huru! Hii biashara ya **** hazihitaji promotion sababu mko wengi na unajua the law of demand and supply . Mzigo uko mpaka online.
 
Mambo ya clitocurrency

Mambo ya success is sexually transmitted

Mambo ya kiungo mtaji

Ila ndio dunia yetu, wanaume baadhi yetu watakuvamia lakini ikitokea manzi yake anahitaji laki tano atampa Ila ndugu yake mwenye shida hata ya 30,000 anaanza kumpa mipango na sababu kuwa hana.

Kwa hiyo ndio uhalisia
 
Ilikua zamani siku hizi K ni kitu cha kawaida sanaaaa. Tena wanawake ndo mme ifanya iwe ya kawaida mtu kukwambia umpe pesa akupe K haoni shida maana anajua uondoke nayo

Nikiona mwanaume ana endeshwa na K uyo ni popoma
 
nisidanganyike kwan me mtoto mwenzenu
me nawasaidia watoto wangu wanalia sana kuhusu wanaume masuruali kama wewe sababu hawajui thamani zao

Basi acha kudanganya wanao mama! Yalikuwa yetu enzi zile tunatongoza tupo kwenye migomba unasubiri hadi kunakucha na mvua na mbu wanashiba damu zetu tu sio hawa wa text message na emoji tu wanavua chupi! Ukisoma nyuzi za vijana hapa utaona kabisa hamna mwekezaji hata mmoja!
 
na bado utarusha vitabu vyote
ila utamu bure hampati tena
mkafanye kazi mhudumie wake zenu
IMG_4364.jpeg
 
Back
Top Bottom