wewe ndo ungeenda kuitafuta ukaileta hapa, cuz wewe ndio unashida ya kumjua.... Fanya ivyo basi wacha ubwenyenyeHaa yamekuwa hayo tena
Kila mtu na akipendacho. Usinilazimishe nipende usichokipenda.Acha kulinganisha mziki mzuri wa maua na huyo sijui na nani wako
Maua ni habali nyingine kabisa, kabinti ka bongo freva ninakokapenda
Kama umeogopa had kuleta picha yake bas atakuwa sura mbaya then mimi sina hata mpango wa kumujua huyo sijui nan wakowewe ndo ungeenda kuitafuta ukaileta hapa, cuz wewe ndio unashida ya kumjua.... Fanya ivyo basi wacha ubwenyenye
Hapo pa ajabu Ndio nlipokuambia usiforce nipende unachokipenda wewe. Kwako uchafu kwa nzito dhahabu..Sijakulqzimisha mrembo nilichokwambia ni kwamba acha kumufaninisha maua na vitu vya ajabu ajabu
Mimi nipo dada yangu lakin nimekwambia kwamba usilimulinganishe maua na vitu vya ajabu ajabu wala mimi sijapinga chaguo lako dada yanguHapo pa ajabu Ndio nlipokuambia usiforce nipende unachokipenda wewe. Kwako uchafu kwa nzito dhahabu..
Upo kaka??
...na hiyo miwani labdaUnapenda hiyo minywele ya bandia!?.
Unapoliita chaguo langu kitu cha ajabu unajihisi mzima kweli wewe??Mimi nipo dada yangu lakin nimekwambia kwamba usilimulinganishe maua na vitu vya ajabu ajabu wala mimi sijapinga chaguo lako dada yangu
She got married nowKuna mtoto anaitwa Menina sasa hivi sijamsikia sana nae yuko vizuri.
Ohoooo!!!Naona wajanja washaniwahi ila poa tu.She got married now