Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Nampenda sana yule mtoto Rosa Lee....Sijui mchanga yule Sijui mmasai ila nazipenda sana Swagger zake za midomo na ile style yake ya nywele
Lakin kale hakana adabu katakusumbua sana
 
Hahahahahaaaa umenichekesha sana eti

SITAKI UKAKANDIE, UKIONA NI KABAYA NAWE WEKA KAKO.
 
Acha kulinganisha mziki mzuri wa maua na huyo sijui na nani wako

Maua ni habali nyingine kabisa, kabinti ka bongo freva ninakokapenda
Kila mtu na akipendacho. Usinilazimishe nipende usichokipenda.
Roger that???
 
Hahahahahaaaa umenichekesha sana eti

SITAKI UKAKANDIE, UKIONA NI KABAYA NAWE WEKA KAKO.
Yes ndo hivo mkuu kuna watu wanapenda sana kukuandia machaguo ya wenzao kwa atayeona ni kabaya naye anaruhusiwa kuweka kake
 
Kila mtu na akipendacho. Usinilazimishe nipende usichokipenda.
Roger that???
Sijakulqzimisha mrembo nilichokwambia ni kwamba acha kumufaninisha maua na vitu vya ajabu ajabu
 
wewe ndo ungeenda kuitafuta ukaileta hapa, cuz wewe ndio unashida ya kumjua.... Fanya ivyo basi wacha ubwenyenye
Kama umeogopa had kuleta picha yake bas atakuwa sura mbaya then mimi sina hata mpango wa kumujua huyo sijui nan wako
 
Sijakulqzimisha mrembo nilichokwambia ni kwamba acha kumufaninisha maua na vitu vya ajabu ajabu
Hapo pa ajabu Ndio nlipokuambia usiforce nipende unachokipenda wewe. Kwako uchafu kwa nzito dhahabu..
Upo kaka??
 
Hapo pa ajabu Ndio nlipokuambia usiforce nipende unachokipenda wewe. Kwako uchafu kwa nzito dhahabu..
Upo kaka??
Mimi nipo dada yangu lakin nimekwambia kwamba usilimulinganishe maua na vitu vya ajabu ajabu wala mimi sijapinga chaguo lako dada yangu
 
Mimi nipo dada yangu lakin nimekwambia kwamba usilimulinganishe maua na vitu vya ajabu ajabu wala mimi sijapinga chaguo lako dada yangu
Unapoliita chaguo langu kitu cha ajabu unajihisi mzima kweli wewe??
 
Back
Top Bottom