The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
sikukuu ipi tena?
Hujui baada ya mfungo kuna sikukuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikukuu ipi tena?
Umeona eh?!!! Hapo ndo shida, kwnz ata nkionana nae hawez kuniconsider kivileeChidi ni teja tu chokoraa now
hana hata shilingi sema ana 'cockiness ' hivi ambayo ukiwa nayo kila mwanamke
utamuona easy kwako...
watakuwa kama mbwa mbele ya chatu....
Umeona eh?!!! Hapo ndo shida, kwnz ata nkionana nae hawez kuniconsider kivilee
ni msanii wa kibongo pia, mcheki insta au google PV CamboNdo nan huyo cambo au ndo wako nini mkuu
Tatzo Lao hata kwny social media hawez kujibu msg ata ukimtumia[emoji40] [emoji40] [emoji19] [emoji19]make her notice you...
mbona cha kawaida saana?
Nan uyoAnasaut nzur sana
Nan uyoAnasaut nzur sana
Maua samaNan uyo
Uyo uyo,kibibi saafi! Km kile cha rais wa ufaransaZari yupi unamwongelea au yule mama mwenye watoto saba anayegombea urithi huko uganda au mwingine
Tatzo Lao hata kwny social media hawez kujibu msg ata ukimtumia[emoji40] [emoji40] [emoji19] [emoji19]
Ahaaaa we jamaaa ni mafia sana umetisha mkuu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] noma sana nmekukubali sana mkuu. Uko smart upstairs [emoji23] [emoji23]unamtumia sms za kishamba
jifanye promota uko mkoa
unataka kumleta afanye show
uliza bei yake na simu no yake..
anzia hapo
Mkuu kazi za huyo Maua sama umezisikiliza zote?Kiukweli maua sama yuko vizuri mno. Wimbo wake Sisikii naupenda mpaka kesho na kesho kutwa na mtondogo. Lakini kuna haka kadada kengine anaitwa Nandy. Duh!!! Ananikosha sana anamu overtake maua sama katika game kwa sasa.
Jamaa Yuko safi sana kchwani nna was was kama hakua kiranja wa zamu mirembe maana sio kwa ujiniaz huo [emoji23] [emoji23] [emoji23].Ahaaaa we jamaaa ni mafia sana umetisha mkuu
aah watapita wadada wazur weng kwny industry ila kuna dada anaitwa feza kesy bhanaa......yani namtamani kinyama na ni mtamu kimuonekano