Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Chidi ni teja tu chokoraa now
hana hata shilingi sema ana 'cockiness ' hivi ambayo ukiwa nayo kila mwanamke
utamuona easy kwako...

watakuwa kama mbwa mbele ya chatu....
Umeona eh?!!! Hapo ndo shida, kwnz ata nkionana nae hawez kuniconsider kivilee
 
Lady jay dee nikimuona roho Yangu inasuuzika sana
 
Ahaaaa we jamaaa ni mafia sana umetisha mkuu

Mbona hiyo mbinu ndogo sana

Anaweza kumwambia ana duka la nguo anahitaji kumtumia kwa matangazo
waonane wapi...
wadada wa instagram we waambie una biashara unataka watangaze kwenye page zao
utashangaa..
 
unamtumia sms za kishamba
jifanye promota uko mkoa
unataka kumleta afanye show
uliza bei yake na simu no yake..

anzia hapo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] noma sana nmekukubali sana mkuu. Uko smart upstairs [emoji23] [emoji23]
 
Kiukweli maua sama yuko vizuri mno. Wimbo wake Sisikii naupenda mpaka kesho na kesho kutwa na mtondogo. Lakini kuna haka kadada kengine anaitwa Nandy. Duh!!! Ananikosha sana anamu overtake maua sama katika game kwa sasa.
Mkuu kazi za huyo Maua sama umezisikiliza zote?
 
Ahaaaa we jamaaa ni mafia sana umetisha mkuu
Jamaa Yuko safi sana kchwani nna was was kama hakua kiranja wa zamu mirembe maana sio kwa ujiniaz huo [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Jokes.
 
aah watapita wadada wazur weng kwny industry ila kuna dada anaitwa feza kesy bhanaa......yani namtamani kinyama na ni mtamu kimuonekano
14cb403aac7431dfcb1c541874461b2a.jpg
huyo mtoto yuko vizuri sema wajanja walisha mzaliaha wakabwaga.
 
Back
Top Bottom