Binti wa Chuo anataka nimuoe na nimvumilie amalize masomo, najiuliza itakuwaje badae?

Mwambie Sawa nenda chuo kwanza ukimaliza tutazungumza,hapo ukitegemea nguvu ya ushawishi chuoni kukuongoza kumtoa kwenye hesabu zake,

NB kama humtaki hakikisha humgusi
Afu chuo ndo apangiwe dar, huyo kwa heri asee
Mi mwenyewe niko na situation kama hii, nikipiga tu hesabu ya gap la umri kati yangu na yeye tunapishana miaka 13. Afu eti nimsubiri miaka 5+ mbele afu hapo akimaliza chuo unakuta anapata ajira huko lindi na mm niko zangu kahama kudadeq
Hapo kuna vitu vizuri kuna wasomi wenye ajira rasmi na wasomi wasio na ajira rasmi. Hawa wa mwisho wanaweza kuolewa chap kama wakiona inafaa
Vp nikioa huyu msomi asie na ajira rasmi afu akaja kupata ajira rasmi, tunaishi mwanza ye kapata ajira arusha itakuaje hapo
 

Achana Na Hizo Blahh...Blahh...Za Kipuuzi,,,Hakikisha Kwa Sasa Unamtomba Haswa,,Mjeruhi **** Sasa,,Moyo Mwachie...​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…