Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Jamaa linatumia madawa ya asili.. litakuwa lipo fitiHao wake zake kama wanapata nafasi ya kujichanganya kwenye jamii watakuwa wanagongwa sana pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa linatumia madawa ya asili.. litakuwa lipo fitiHao wake zake kama wanapata nafasi ya kujichanganya kwenye jamii watakuwa wanagongwa sana pia
Zee linataka brand new tu, used hapana 🤣🤣🤣😂😂verified bikra breaker
acha shoboAisee hivi kweli mzee wa miaka 56 umuoe mtoto wangu wa 21 hapo ni uongo
Huyo babu nayeye anarekodi yake yakuoa vibint vya watu, kwao hao mwanamke ni chombo cha starehe.Huyo babu hampendi binti yake.
Bora umetupa ramani!Mkuu nenda Handeni vijijini ukaone
Aiseee kumbe watu mnatamani ila mnajivunga 🤣🤣🤣🤣Hapo wake zake watakuw wanajitutumua hasa wakipata nafas ya kulala na Mwamba..
Jamaa linafaidi sana...
Ningekuw ndio mm naomba 4 some kila siku
Unadhani kwa dunia ya sasa wivu wa mapenzi una nafasi basiHao wake zake kama wanapata nafasi ya kujichanganya kwenye jamii watakuwa wanagongwa sana pia
Wivu wa kimapenzi upo ila kwa siye Wasulupwete!Tajiri huwa hateswi na mapenzi!Unadhani kwa dunia ya sasa wivu wa mapenzi una nafasi basi
Ni kwel,yaan jamaa anakulaga zile mali za baridi kabisaKama 56 unaona mingi nenda mikoa ya pwani huko kukuta Mzee wa miaka 70 anaoa binti mpyaaa ni jambo la kawaida sana.
Btw Mfalme Mswati ni mwanaume anayekula Mali safi kuliko wanaume wote duniani.