Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mswati si swahiba wa jamaa wa Msoga kweliNomcebo Zuma, 21, atakuwa mke wa 16 wa Mfalme Mswati Il. Binti huyo alikuwa miongoni mwa mamia ya wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku Jumatatu, kuthibitisha uchumba wake na mfalme huyo. Mfalme Mswati Ill ana umri wa miaka 56
Huyu angekuwa muislam hapa wakristo wange leta story zao za kishoga utadhani walikuwepo 😄Nomcebo Zuma, 21, atakuwa mke wa 16 wa Mfalme Mswati Il. Binti huyo alikuwa miongoni mwa mamia ya wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku Jumatatu, kuthibitisha uchumba wake na mfalme huyo. Mfalme Mswati Ill ana umri wa miaka 56
===============For English Audience============
Eswatini’s King Mswati III's plans to wed Nomcebo Zuma, the daughter of former South African President Jacob Zuma, as his 16th wife. Political analysts dismiss the union's geopolitical impact but see its potential in strengthening ties between the two leaders.
A royal delegation from Eswatini, also known as Swaziland, visited Jacob Zuma’s homestead at Nkandla in July in accordance with tradition, marking the start of Mswati’s marriage proposal to Zuma.
SOURCE: VOICE OF AMERICA
Umepiga kwenye mshono. MulemuleHuyu angekuwa muislam hapa wakristo wange leta story zao za kishoga utadhani walikuwepo 😄
Kama vile tunasema mtu akatembelee serengiti au ngorongoro aisee nawashauri kabla hujafa nenda kashuhudie hii shere ya mfalme kuchagua nke. I am blessed to have witnessed it.Nomcebo Zuma, 21, atakuwa mke wa 16 wa Mfalme Mswati Il. Binti huyo alikuwa miongoni mwa mamia ya wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku Jumatatu, kuthibitisha uchumba wake na mfalme huyo. Mfalme Mswati Ill ana umri wa miaka 56
===============For English Audience============
Eswatini’s King Mswati III's plans to wed Nomcebo Zuma, the daughter of former South African President Jacob Zuma, as his 16th wife. Political analysts dismiss the union's geopolitical impact but see its potential in strengthening ties between the two leaders.
A royal delegation from Eswatini, also known as Swaziland, visited Jacob Zuma’s homestead at Nkandla in July in accordance with tradition, marking the start of Mswati’s marriage proposal to Zuma.
SOURCE: VOICE OF AMERICA
Kwani atamtomber yeyeZuma hampendi binti yake
Hapana, ila angemuoza kwa kijana rika lake sio huyo Mzee..Kwani atamtomber yeye
Ukudika better to be born lucky than gifted ndio hii sasa. Yaani kwanza alivyo ascend to the thrown tayari ni bahati maana unatakiwa kuwa mtoto wa kiume oeekee kwenye uzao wa mama yako. So imagine mfamle ana wake wangapi and u just have to be the chosen one.Mswati the legend, mwamba anazifungulia mwenyewe. Sio mchezo
Hamna bwana wacha aende pale pesa ipo. Mtoto hapati tabuHapana, ila angemuoza kwa kijana rika lake sio huyo Mzee..
Hapana aisee.....Zuma kazinguaHamna bwana wacha aende pale pesa ipo. Mtoto hapati tabu
Kwakweli mwamba ni the greatUkudika better to be born lucky than gifted ndio hii sasa. Yaani kwanza alivyo ascend to the thrown tayari ni bahati maana unatakiwa kuwa mtoto wa kiume oeekee kwenye uzao wa mama yako. So imagine mfamle ana wake wangapi and u just have to be the chosen one.
Mwamba alikuwa na haki ya kusitisha masomo yake ulaya aje kukalia kiti maana bahti haiji mara mbili
Mzeya fanya ufanyavyo ile reed dance ni one of the wonders of the world....must seeKwakweli mwamba ni the great
Kazinguannini wewe bwana wacha akachezee kitambi cha mfalme.Hapana aisee.....Zuma kazingua
Hao wake zake kama wanapata nafasi ya kujichanganya kwenye jamii watakuwa wanagongwa sana piaHapo wake zake watakuw wanajitutumua hasa wakipata nafas ya kulala na Mwamba..
Jamaa linafaidi sana...
Ningekuw ndio mm naomba 4 some kila siku