Kahiyo hoja yako ni nini unataka Ayo Tv ajeMimi nna degree ya SAUT nachoma mahindi hapa darajani hapa Mbeya.Huyo hafanyi biashara anajitangaza,tupo wengi huku tunatokea kwenye familia maskini mnoooo nadhani ndiyo maana hamtutangazi.....HAKUNA MTU HAPENDI KUFANYA KAZI,HAKUNA MTU ANAPENDA KULA BURE,SHIDA NI MTAJI NA KUPATA KAZI YENYEWE.
Wanakatisha saana Tamaa,
Hii inaturudisha nyuma sana mkuu, unaweza tengeneza hata 50K ya kwenye kabiashara kasikofika hata laki 5 ila tatizo EGO!Kwenye maisha haya, MTU UKIWEZA KUIUA KITU INAITWA EGO... utafanikiwa zana
Sio tu hana elfu kumi bali anamaliza na deni la million 4-6 HESLB!
Umeongea point sana, kila mtu awe vile anavyotaka kama wewe graduate unafanya shughuli fulani sio lzm wote tufanye hiyoNi vizuri kukosoana ila kwanini nisichague kazi? Swali langu la msingi ni kwanini watu tunawabana hadi kwenye kuchagua kazi.
-Acha watu wawe wanavyotaka wawe nawe kuwa unayetaka kuwa.
Hii dunia ipo fair saana.
makande yanahitaji mtaji kiasi gani?wabongo kwa visingizio
Kwahiyo wadada wote wasomi wa kishua wauze makande?Habari wadau...
Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?
Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na masters university of Minnesota huko USA.
Baada ya kumaliza masomo yake akaamua kurudi nyumbani kujiajiri kwa kuuza makande kisasa na kwao ni mambo safi hasa hasa...
Nawaza tu why dada zetu maskini hawapendi kujishughulisha huku washua hawachagui kazi.
Nimemkumbuka na Mercy Kitomari Nelwa Gelato naye ana degree ya U.K ila amerudi Tanzania anauza ice cream tu kisasa
Utaambiwa wewe ni mvivu wa kufikiri!! From US to TZ for makande!!!Sitaki kuongea mengi lakini niko na shaka kubwa kwa hii masters degree ambayo huyu binti anaye, kwanza amesema hi ya finance, hii ndio ukweli , marekani ukiwa na masters in finance kazi ni tele, na pia kupata kibali cha kuishi huko amerika sio shinda, ukiajiliwa ile kamupuni au mtu alikuajili ana haki ya kwenda na kukuezesha upate resident permit sababu uko na kazi,lakini kando na hilo, sioni ANY MOTIVATION, huyu dada anawapa watu wanaotafuta ajira, kaa hii ni masters ya toka mzumbe au dar, hio singeona shinda kubwa nae, lakini huwezi kwenda toka tz mpaka usa ukapata masters, ukapata all that knowledge toka first world, ukawa exposed to all that technology, innovation and yale yote ambayo hufanyika pahali kaa marekani and for sure you came back to bongo to sell makande!!!!!!!!!!,sasa hata huko marekani angekuwa amepata ujuzi na maarifa ya kufanya kitu ambacho kitakuwa tofauti na mtu ambae amesoma tu bongo, yaani angeazisa hata micro finance credit inst, hata kaa sio kubwa kutumia hio ujuzi wa finance education ako nae,au hata kaa hana mtaji, then angeaza a consultancy firm ya kuwapa ushauri wale wanataka kuaza biashara ndogo au kubwa,au hata achukua hii nafasi ya ile kitu kinaitwa AGOA aaze ku export vitu huko amerika, mimi naona ajabu sana na huyu binti yetu, na ndio ninasema niko na mashaka makubwa kuhusu hii masters yake, this is not the way a person who trained in usa , who has a masters should be doing things, she ought to do something innovative and mordern in tech ways,
Wanaponda kwa sababu hajafanya kile kilocho kwenye levo zao za uwezo
Yes kwa sababu amefanya kile ambacho kiko nje ya levo zako za kuwaza. Nikuambia leta wazo lako hapa kama haitakuwa MPESA basi itakuwa Baaa au Saloon au Duka la Hard ware au kuuza Nguo za kike na za watoto.naona umekuwa promota wa kande sawa tumekusikia ighanuda huku zinafika lini
Sent using Jamii Forums mobile app
Degree ya SAUT ndio degree gani hiyo? Au ulimaanisha nini?Mimi nna degree ya SAUT nachoma mahindi hapa darajani hapa Mbeya.Huyo hafanyi biashara anajitangaza,tupo wengi huku tunatokea kwenye familia maskini mnoooo nadhani ndiyo maana hamtutangazi.....HAKUNA MTU HAPENDI KUFANYA KAZI,HAKUNA MTU ANAPENDA KULA BURE,SHIDA NI MTAJI NA KUPATA KAZI YENYEWE.