cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Yani umeshindwa kubofya hapo kusikiliza kweli wabongo aliyetuloga sijui nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani umeshindwa kubofya hapo kusikiliza kweli wabongo aliyetuloga sijui nani
Hata mimi nilikua kama wewe.Hivi kwanini watu mliofanikiwa kupata kitu fulani kwenye maisha huwa mnakosa akili na busara? Wengine tulienda shule ili tusiwe wauza karanga au wachoma mahindi,tungetaka kuchoma mahindi au kuuza karanga tungeishia kidato cha nne na kuanza kuuza karanga.....hizi kejeri mnamezeshwa na serikali yenu ya CCM kuwa vijana wajiajiri,mmeshindwa kuzalisha ajira na mmeshindwa kuwawezesha vijana kujiajiri kwa mali au hali,MSITAKE VIJANA TUONEKANE WAVIVU WAKATI TUMEWAKABIDHI HII NCHI ILI MTENGENEZE MWANGA WA MAISHA YA WATANZANIA....narudia tena HAKUNA ASIYEPENDA KUFANYA KAZI WA KULA BURE.
Mkuuu mi sidhani hata akisema itakusaidia kitu kama umepanga kitu chako haijalishi unamtaji kiasi gani kama uko comited basi hata kwa mtaji wa laki1 utaweza kufanya tu ila ukisema uangalie nani kafanya kwa mtaji gani ndugu utachelewa sanaAngalia investiment aliyoiweka ndo utajua mtaji nishida.. kuuza makande sio shida lakini unayauza kwenye mazingira gani na kunapika kwenye mazingira yapi?.. Hapo awe mkweli amewekeza shingapi Kama kianzio ndio utajua mtaji ni ishu bablai..
Sent using Jamii Forums mobile app
Education 2012-2015
Nadhani unaongea vitu vya kwenye vitabu na madaftari,huzungumzii maisha halisi ya hapa Tanzania.Hata mimi nilikua kama wewe.
Nilikua napenda kulalamika na kuwalaumu watu wengine.
Nilikua nasubiri nifanyiwe ili nije nipate mtaji.
Lakini akili ilipofunguka na kujua hii dunia inataka mtu mwenye akili nyingi, ndipo maisha yangu yalipo badirika.
Nikajua kuwa biashara sio mtaji ila ni wazo.
Wazo la biashara unalipata kulingana na hali yako.
Hakika nakuambia hata leo hii ukipewa mil 100, huwezi ifanyia kitu kama akili yako inadhani biashara ni mtaji
Mimi ni mtanzania na siamini kupitia vitabuNadhani unaongea vitu vya kwenye vitabu na madaftari,huzungumzii maisha halisi ya hapa Tanzania.
makande yanahitaji mtaji kiasi gani?wabongo kwa visingizio
Finance na master's ya project management .kwahiyo anafanya kitu sahihi kulingana na elimu yake na baada ya biashara kukua watanzania Hawa hawa wasiojielewa watakuja hapa na kuanza kushangaa.mbona hamsemi ni degree ya nini?
Habari wadau...
Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?
Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na masters university of Minnesota huko USA.
Baada ya kumaliza masomo yake akaamua kurudi nyumbani kujiajiri kwa kuuza makande kisasa na kwao ni mambo safi hasa hasa...
Nawaza tu why dada zetu maskini hawapendi kujishughulisha huku washua hawachagui kazi.
Nimemkumbuka na Mercy Kitomari Nelwa Gelato naye ana degree ya U.K ila amerudi Tanzania anauza ice cream tu kisasa
Kama kuna ufara basi huu wako ni wa kiwango cha SGR. so tafsiri yako ya kuishi nje ni mafanikio. Braza kama hujawahi enda huko tulia. Hao wanaoishi nje ni Mungu wao na wao ndo wanajua.Huko ni kujipa matumaini tu kwa kiwango cha kipuuzi kabisa. Huko ni kwa mtu alieshindwa kutumia nafasi na fursa aliyoipata vizuri.Kama hachagui kazi huo msemo ilitakiwa aitumie akiwa marekani. Kule kuna kazi nyingi za kwenye mashoprite ya kupanga mabox tu,hata kama unasoma,una uwezo wa kutengeneza hela,tena hela sio hizi. Kule unalipwa kwa masaa. Nina mifano miiiiiingi isiyo idadi. Nina familia jirani,huyo mama ni mzee sasa ana watoto wa4,mkubwa yuko uingereza,ndie alianza kwenda kama kusoma,lakini akaanza na kazi hizo za kwenye mashoprite kupanga mabox,baadae alivyomaliza masomo akatafuta kazi huko huko. Kifupi kwenda kusoma ilikuwa gear tu. Baada ya kuseto akampigia pande mdogoake akaenda,akampa michongo mizima. Dogo baada ya muda pale UK,akasepa uswiswi,nae akamvuta dogo mwingine,huyo dogo wa 3 baada ya muda akasepa marekani,baada ya muda nae akamvuta wa 4. Wa 4 yuko Canada. Familia iko njema sana. Mama akiamua kuzunguka kote kwa wanae. Kazi walizoanza nazo ni hizo ambazo wazungu hawazitaki za kupanga mabox wanaziona ni za chini. Lakini zina mshahara wa kukufikisha ukawa milionea ukija huku kwetu. Hata ufanye ndani ya miaka 10 tu wewe ni bilionea ili mradi uwe na malengo,achana na statehe za kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea : tatizo nanba moja la watanzania ni kupoteza muda mwingi kusomea vitu visivyo kua na msaada kwenye maisha yao.Nimejifunza kitu kwa huyu dogo, kwanza kupika ni passion yake hicho ni kitu muhimu kabisa, pili amejua kusudi lake na analifanyia kazi kwa udanisi na furaha (Nanauka anasema tambua kusudi lako) tatu, anafanya biashara ya kuuza chakula na kunasiku maalumu anapika makande, nampa hongera kwa kujua kusudi lake, elimu alikua anapuyanga tu bora angesomea upishi mapema, lakini hajachelewa. So muandishi anasema eti kaamua kupika makande!?!??!?! Halafu tunaanza kulaumiana?!! Wasomi wa nchi hii wako confused kabisa! Jua kusudi lako basi. Sio kudanganyana msomi anapika makande na anatoboa, huyo anafanya biashara ya chakula na kuna siku ya makande, akijiongeza atapika na ugali was mtama. Hongera dogo kwa kujua kusudi lako. Sijapenda heading ya uzi imekaa kibiashara sana
Ufara utakuwa unao wewe,kama umeenda kusoma ulaya halafu ukarudi mikono mitupu,wapo wengine wa aina yako,unaenda ulaya iwe kusoma au vyovyote halafu unaanza kufuata maisha ya wenyeji,ile starehe wanazofanya,na wewe unataka utimize tu kile ulichofuata bila kuangalia fursa zingine nyingi zilizopo kule. Wanaoshindwa kule ni ksbb tu kujifanya nao mabishoo,nao hawataki kazi za chini kama wenyeji japo zina kipato kizuri kuliko huku. Mimi nisingekuwa na maisha yangu ningeenda kule,nakuhakikishia 100% narudi na hela mbayaaa mkuu,sibahatishi.Kama kuna ufara basi huu wako ni wa kiwango cha SGR. so tafsiri yako ya kuishi nje ni mafanikio. Braza kama hujawahi enda huko tulia. Hao wanaoishi nje ni Mungu wao na wao ndo wanajua.
Our mental liberation s pre-requisite to the future prospect
Sent using Jamii Forums mobile app
Then what next ukirudi na hela! Nakuona limbukeni fikra zako ni kuwa kwenda nje ni kuwa na maisha bora. Braza kuna watu wana make mpunga hapa hapa kwa magufuli na sio hizo za kwenda kuosha mbwa wa wazungu. Tuliza kichwa mtaalamu. Kuna mana gani kupata hela kwa kufanya kazi hata ambayo mwenyewe unaona inakushushia utu wako. Wengi wanasema wako nje ila nakuapia ni mahouseboy tu huko.Ufara utakuwa unao wewe,kama umeenda kusoma ulaya halafu ukarudi mikono mitupu,wapo wengine wa aina yako,unaenda ulaya iwe kusoma au vyovyote halafu unaanza kufuata maisha ya wenyeji,ile starehe wanazofanya,na wewe unataka utimize tu kile ulichofuata bila kuangalia fursa zingine nyingi zilizopo kule. Wanaoshindwa kule ni ksbb tu kujifanya nao mabishoo,nao hawataki kazi za chini kama wenyeji japo zina kipato kizuri kuliko huku. Mimi nisingekuwa na maisha yangu ningeenda kule,nakuhakikishia 100% narudi na hela mbayaaa mkuu,sibahatishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina bro tumetoka kijiji kimoja ni afisa wa ubarozi nchi fulani za Scandinavia,yuko huko kikazi kuanzia kipindi cha mkapa. Wakati anaenda kule alikuwa na vijana wawili,halafu kule akaenda kuzaa mtoto mmoja,hao watoto sasa wana uraia wa huko,ni wakubwa sasa. Mafundisho yake kwa watoto ilikuwa ni namna ya kutumia fursa za kuwa kwao kule. Mpaka sasa hao watoto wana akaunti ya pamoja,lakini ina hela ya kutosha. Ksbb wote wakitoka masomoni wanapumzika then wanaingia kazini masaa mengine yasiyo ya masomo na siku zisizo za masomo. Ila kwa nyie mnaoenda mnaiga maisha ya kule badala ya kufikiria na kutumia fursa vizuri hiyo. MnadharauKama kuna ufara basi huu wako ni wa kiwango cha SGR. so tafsiri yako ya kuishi nje ni mafanikio. Braza kama hujawahi enda huko tulia. Hao wanaoishi nje ni Mungu wao na wao ndo wanajua.
Our mental liberation s pre-requisite to the future prospect
Sent using Jamii Forums mobile app