Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Sio kila mtu anaweza kwenda kuwa mfagia choo huko. Mwache dada aanze mdogo mdogo kesho akimiliki 5 star hotel mtaanza aaa kahongwa. Usilo lijua kuhusu kazi hizo wanafanya huko nje basi ungebadili msimamo wakoNina bro tumetoka kijiji kimoja ni afisa wa ubarozi nchi fulani za Scandinavia,yuko huko kikazi kuanzia kipindi cha mkapa. Wakati anaenda kule alikuwa na vijana wawili,halafu kule akaenda kuzaa mtoto mmoja,hao watoto sasa wana uraia wa huko,ni wakubwa sasa. Mafundisho yake kwa watoto ilikuwa ni namna ya kutumia fursa za kuwa kwao kule. Mpaka sasa hao watoto wana akaunti ya pamoja,lakini ina hela ya kutosha. Ksbb wote wakitoka masomoni wanapumzika then wanaingia kazini masaa mengine yasiyo ya masomo na siku zisizo za masomo. Ila kwa nyie mnaoenda mnaiga maisha ya kule badala ya kufikiria na kutumia fursa vizuri hiyo. Mnadharau
Sent using Jamii Forums mobile app
May be jamaa yangu. Lakini huyo mpaka hapo sina uhakika kama haja-feal maisha mpaka hapoSawa. Sio kila mtu anaweza kwenda kuwa mfagia choo huko. Mwache dada aanze mdogo mdogo kesho akimiliki 5 star hotel mtaanza aaa kahongwa. Usilo lijua kuhusu kazi hizo wanafanya huko nje basi ungebadili msimamo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kuuza makande wala sio hoja,hata Mimi ningekuwa mtoto wa Bakhressa,ningeweza kufungua hata genge!!we unafikiri anaendesha maisha yake kwa kutegemea Mapato ya hayo Makande?Kuna finance base na connections kubwa ya familia yake inayomsapoti,mfano akipika hayo Makande,harafu akapewa tenda ayapereke Sheraton hotel,au white sand,unafikiri utalingana naye?Habari wadau...
Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?
Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na masters university of Minnesota huko USA.
Baada ya kumaliza masomo yake akaamua kurudi nyumbani kujiajiri kwa kuuza makande kisasa na kwao ni mambo safi hasa hasa...
Nawaza tu why dada zetu maskini hawapendi kujishughulisha huku washua hawachagui kazi.
Nimemkumbuka na Mercy Kitomari Nelwa Gelato naye ana degree ya U.K ila amerudi Tanzania anauza ice cream tu kisasa
Mnataka mtaji ufikie kama wa Manji au? Mnazotuchuna hazitoshi kuanzisha biashara ya makande?
Connection ni muhimu ili kupata soko la uhakika, vinginevyo utawekeza pesa soko hakuna.Huyo kuuza makande wala sio hoja,hata Mimi ningekuwa mtoto wa Bakhressa,ningeweza kufungua hata genge!!we unafikiri anaendesha maisha yake kwa kutegemea Mapato ya hayo Makande?Kuna finance base na connections kubwa ya familia yake inayomsapoti,mfano akipika hayo Makande,harafu akapewa tenda ayapereke Sheraton hotel,au white sand,unafikiri utalingana naye?
Na hayo makande hapikii huku kwetu uswazi,ubungo,tabata,manzese,akiyapikia mikocheni,harafu yanafatwa na gari kupelekwa Sheraton,!!kila MTU anaweza kufanya hivyo akipewa mchongo.
Kijana gani wa Bongo,umwambie kuna tenda,ya kusafisha swimming pools,masaki,na mikocheni,kila wiki,na kila swimming pool,unalipwa 300K,nani atakataa?
Watoto wa kishua,kwa kutumia connections za wazazi wao,wanaweza kutoka hata wakiuza maji,
Sio kitu cha ajabu,
Nina jamaa yangu,anatenda ya kusupply nyanya,mboga za majani,nk kwenye mahotel makubwa huko Dar,hana gari,anatumiwa mahitaji kila siku jioni,asubuh,anaenda Kariakoo,anachukua mzigo,anatia kwenye teksi,anapereka,
Saaa sita mchana,ameishalipwa chake,anaweka miguu juu,nani hawezi kufanya hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Branding inakula hela kuliko bei ya gunia na maharageAngalia investiment aliyoiweka ndo utajua mtaji nishida.. kuuza makande sio shida lakini unayauza kwenye mazingira gani na kunapika kwenye mazingira yapi?.. Hapo awe mkweli amewekeza shingapi Kama kianzio ndio utajua mtaji ni ishu bablai..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nyingi kama una mtaji wa maana. Bila hivyo utapoteza mda mrefu huku ukikua slow sana kimaisha. Atleast kwa mtaji wa 15-20m unaweza fanya kitu cha kueleweka kwenye mojawapo ya majiji ya Tanzania ukapiga hela. Ila mikoani hela hamna!Wewe nadhani hujawahi kutoka hata nje ya hicho kijiji chenu. Ungewahi kuishi kidogo tu marekani au uingereza usingeandika upuuzi huu huu hapa. Tanzania maisha ni rahisi sana na opportunity ni nyingi kuliko huko marekani na ulaya unaposema. Wacheni ndoto vijana.
Safi mkuu, developments have no party[emoji41]Nipo mwanza hapa mjini Kati opp na mwanza hotel naomba uelekeo nikamuunge mkono kwa Kula kande hapo mgahawani kwake pls
nimecheka kwa sautHabari wadau...
Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?
Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na masters university of Minnesota huko USA.
Baada ya kumaliza masomo yake akaamua kurudi nyumbani kujiajiri kwa kuuza makande kisasa na kwao ni mambo safi hasa hasa...
Nawaza tu why dada zetu maskini hawapendi kujishughulisha huku washua hawachagui kazi.
Nimemkumbuka na Mercy Kitomari Nelwa Gelato naye ana degree ya U.K ila amerudi Tanzania anauza ice cream tu kisasa
Tutumie muda mwingi kutafakari kuhusu maisha yetu na si kuanza kudhihaki kuhusu maisha ya wengineMkuu Freelancer unakosea!
Hapa wadau hatutaelewa popoma ni nani kati ya wanaomsifia au wanaomkosoa,wewe unaona yupo sahihi kwa elimu yake hiyo kufanya biashala ya chakula?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Wewe tuambie kiwango chako cha elimu na shughuli unayofanya kwa sasa .Inategemea unauzaje hayo makande? Namna unavyouza hayo makande ndiyo itaonyesha kama elimu inakusadia au haikusaidii. Mnakurupuka tu kuandika ujinga lakini hamna mnachojuaUpumbavu mtupu... una masters halafu unauza makande? Ulisomea kuuza makande? Ulienda shule kufanya nini sasa!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisubiri kupata mtaji utakaa hadi unazeeka bila kupata mtaji. Wafanyabiashara wengi wakubwa wameanza na mitaji midogo tu. Tatizo watanzania siyo wabunifu kabisa. Tanzania ni kati ya nchi chache sana Afrika zenye fursa nyingi unaweza kuzaliwa maskini wa kutupwa lakini ukaja kuwa tajiri mkubwa baadaye. Wasiasa wetu wanawadanganya sana vijana eti hali ngumu, hakuna ajira. Ukiamua kuwatumia wamachinga pekee waliotapakaa Dar es Salaam yote ni fursa tosha.
Kwa kuongezea : tatizo nanba moja la watanzania ni kupoteza muda mwingi kusomea vitu visivyo kua na msaada kwenye maisha yao.
Sent using Jamii Forums mobileapp