Binti wa miaka 17 ajinyonga baada ya kuachika mara tatu kwenye ndoa

mshitakiwa namba moja hapo ni wazazi wa huyo binti mtamuozeshaje mtoto wa miaka kumi na saba hata viungo havijakomaa ataweza kuhimilki mwanaume kweli?ndiyo maanajamaa walikuwa wakiona hajiwezi wanamuacha
Mpaka anatimiza miaka 17 alikuwa kwenye ndoa tayari. A total of 3. Saddens me.
 
Angekuwa serious kiasi hiki kwenye maisha ya kawaida angefika mbali sana
 
Hao waliomuoa washukuru tu wapo Afrika ingekuwa nchi za wenzetu wazee washeria wanarudi kuangalia wa kwanza alimuoa na miaka mingapi hapo ndio atakapojua mbowe Yuko wapi
 
Alifunga ndoa ya kanisani au hizo za kimila?
Alikuwa anazaa au hazai?

Anyway, tubuni na kamailisheni bwawa la Nyerere kama redemption
 
Atakua ka keketwa uyo ata mimi nnge muacha teh teh teh
 
Dhuu miaka 17 basi atakuwa ndoa yake ya kwanza alikuwa na umri wa miaka 14 hivi. Hivi wale wandoa za utotoni waje hapa wTusaidie
 
Anavyosema wananchi wanatakiwa kuwa na hofu ya Mungu bila kuwaonyesha inakopatikana hiyo hofu ni kazi bure.
Huko kwenye majumba ya ibada ni mwendo wa kutupiana majini na kula sadaka tu.
 
Majaliwa Njanjaruka (35), Mkazi wa Kata ya Mtakuja Mkoa wa Geita amefariki dunia kwa kujinyonga, RPC wa Geita, Henry Mwaibambe amekiri kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema Mtu huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa akili.
#MillardAyoUPDATES https://t.co/519ruwWvKN
 
Miaka 17 na Ndoa Tat. Mmm...!
 
Blame Society

Jamii haijaweka tu wazi kuwa Mapenzi ni ugonjwa wa akili..

Huwezi lialia na kitu ulichagua mwenyewe,,, Yaaani unajiua na kitu ulichagua mwenyewe..
 
Miaka 17 ameshaachika mara tatu. Lazima akilini alipitia magumu sana.
 
Ndoa 3 kajinyonga, kuna watu mjini hata hiyo barua ya uchumba tu wanamaliza viatu kwa waganga wapate hata kuposwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…